truly logical question.........swali zuri sana ila ngoja waje wajuzi wa mambo hapa.Ni Kwa nini Vifungo vya wanaume hukaa kulia na vifungo vya wanawake hukaa kushoto?
Hii point ya mwisho kama ina-make sense.Nilipata kusikia kuna sababu kadhaa:
1.Zamani wanawake wengi wa matajiri Ulaya walikuwa wako na maids wa kuwavalisha nguo hivyo vifungo vikawekwa kushoto ili anapomgeukia maid wake inakuwa raisi kumvalisha kwa mkono wa kulia.
2.Wanaume toka enzi wanajitegemea huwa si rahisi kukuta mwanaume anavungiwa hadi vifungo so vikawekwa kulia ili iwe rahis kujivalisha.
3.Enzi hizo wanajeshi wengi walikuwa wanatumia mapanga na walikuwa wanayaficha ndani ya shati so inakuwa rahisi kufungua vifungo vikiwa rightside ili achomoe panga.
4.Nikasikia ilikuja kama fashion a tu.
5.Ila ya mwisho nilisikia walifanya kwamakusudi kutofautisha vazi la kike na la kiume...
mkuu yaelekea una umri mkubwa sana!Nilipata kusikia kuna sababu kadhaa:
1.Zamani wanawake wengi wa matajiri Ulaya walikuwa wako na maids wa kuwavalisha nguo hivyo vifungo vikawekwa kushoto ili anapomgeukia maid wake inakuwa raisi kumvalisha kwa mkono wa kulia.
2.Wanaume toka enzi wanajitegemea huwa si rahisi kukuta mwanaume anavungiwa hadi vifungo so vikawekwa kulia ili iwe rahis kujivalisha.
3.Enzi hizo wanajeshi wengi walikuwa wanatumia mapanga na walikuwa wanayaficha ndani ya shati so inakuwa rahisi kufungua vifungo vikiwa rightside ili achomoe panga.
4.Nikasikia ilikuja kama fashion a tu.
5.Ila ya mwisho nilisikia walifanya kwamakusudi kutofautisha vazi la kike na la kiume...
Nipe heshima yangu basi mkuu..mkuu yaelekea una umri mkubwa sana!
Na wewe bingwa wa kusikilizaduh jamaa bingwa wa kusikia
hii ni kama desturi tu, kumbuka hata kwenye kusanyiko kama vile kwenye mkutano wanawake hukaa kushoto wanaume kulia, kanisani wanawake kushoto wanaume kulia, pia hata kitandani mwanamke hulaa kushoto mwanaume kuliavingekaa kushoto pia ungeuliza
Na wewe bingwa wa kusikiliza
hii ni kama desturi tu, kumbuka hata kwenye kusanyiko kama vile kwenye mkutano wanawake hukaa kushoto wanaume kulia, kanisani wanawake kushoto wanaume kulia, pia hata kitandani mwanamke hulaa kushoto mwanaume kulia