AJALI: Magari manne yagongana na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 6 ktk msafara wa TAMISEMI

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani na RAS na Kamati ya TAMISEMI umepata ajali Bagamoyo - Kerege

Magari mawili yamegongwa na Lori, Gari na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la TASAF Bagamoyo.

Madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango naye amefariki.

Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali mbaya.

========

UPDATE:

Wamefariki watano; DPLO Hilda, Mwanasheria Kiliba na Pallangyo Mchumi, madereva wawili; mmoja gari la TASAF mwigine gari ya Mkurugenzi.

Walioumia ni DED Matovu, Juliana -- Engineer wa maji, mweka Hazina Mashauri , Mwangata - Afisa Maendeleo ya Jamii na Amadeus Mbuta Mratibu TASAF.

IMG-20160321-WA0026.jpg


IMG-20160321-WA0025.jpg


IMG-20160321-WA0027.jpg


871dad726a6f5394e1a14fe9a4f9f5d0.jpg
 
Ni msafara wa kamati ya TAMISEMI

Source:Mh Suleman jaffo (Naibu waziri TAMISEMI) via ITV
 
Hii ni kwa mujibu wa ITV.msafara wa naibu waziri Sulemani Jafu umepata ajali huko pwani.taarifa kamili itatoka baadaye.
 
Back
Top Bottom