Je, ni kweli yametimia ?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,596
4,890
Maneno aliyoyasema Fidel Castro miaka hiyo
f04348e1300b92cfdfb2755675e0e95a.jpg
 
Lakini maneno hayajazi tumbo wa kuvisha nguo !! SIASA NI MASILAHI tu binafsi!!
Ni kweli kabisa maneno hayajazi tumbo wala kuvisha nguo. Halahala wasije wakaingizwa mkenge. Cuba ilitaka kutawaliwa na Mafioso, Fidel akawafukuza sasa wasije wakatafuta gia nyingine ya kukiendesha kile kisiwa. Kule Amerika ya Kusini wanawachagulia viongozi nani atawale na nani ang'olewe. Unaiona Vienezula, walikuwa na hali nzuri sana kipindi cha Hugo Chavez, sasa nchi imeigiliwa na USA uchumi umeanza kudorala.
 
Maneno yako fika kbs... Hawa jamaa hawakati tamaa..!!
 
Back
Top Bottom