ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,115
- 2,792
wewe una wivu wa kiume?kama una akili ndefu bora ungekaa kimya tuuakili zako fupi wew..sas unapiga kelele kwa kuambiwa bila uhakika huo ndo wivu wa kike unashabikia kitu hujui lolote..
wewe una wivu wa kiume?kama una akili ndefu bora ungekaa kimya tuuakili zako fupi wew..sas unapiga kelele kwa kuambiwa bila uhakika huo ndo wivu wa kike unashabikia kitu hujui lolote..
ila baba yake alikuwa na hela ndefu sana halaf benet na Mkwere. Licha ya mihela yote akajiua kwa kunywa sumu kwa ajili ya mchepuko tuuuu. Papuchi bana.Huyo dada amesahau kuwa baba yake ndiye muasisi mkuu wa kusambaza semba hapa tanzania
We mtoto wa juzi,huwezi kumjua.Kiujumla tu mkuu mimi sijafanikiwa kufahamu huyu Mange ndio nani, mwanamziki, mcheza filamu, mwanasiasa au tycoon flani?
Honestly, I dont know this person.
Boss ni kama dr anayetoa dawa then customer ni kama mgonjwa anayehitaji dawa apone.Hiyo biashara ya ajabu sana" Boss anakua so smart lakin customer wake anakua haelewek kabisa
Hawawezi kuchukuliwa hatua bila kuwa na ushahidi wa kutosha mengine ni majungu mtu akikuchukia basihao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
Mkuu tuwe wakweli,kazi ya vyombo vya usalama ni kufanyia kazi fununu km hz,hv unataraji Mange angeweka na ushahid kwny hyo post???kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
Na yule anaetumbua majipu siku ya alhamisi na uteuzi wiki end jeHuyu mange kimambi ana jua sana jinsi ya ku post ishu zake huu ana lipua mabomu yake jumamosi au jumapili alfajiri ili jumapili yote tukiwa tuna pumzika nyumbani Ni kujadili bomu lake good timing kimambi
TatiZo utawashikaje?hao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
She is Tanzanian Citizenwho is she to say who is who?
Kwahiyo wewe tayari unao Ushahidi kuwa hawauzi??? Kiufupi wewe na Mange nyote hamna Ushahidi, kama issue ni Ushahidi.kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu