Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Mkuu shule yenu mkuu wa shule ni Lowasa nini?
 
2d0d98a4734789ed5655fa4587455207.jpg
 
eti mshahara umechelewa siku sijui 1 mtu anakuja jukwaani kuanzisha uzi? huyu akistaafu itakuaje sasa? au teknolojia inavyo kua kwa kasi wakapunguzwa kazi na kuwa replaced na mashine? hawana ubunifu wowote wamekaa ofisini kama mizoga tu ndio maana taasisi nyingi za serikali hazina kabisa ufanisi
Na mm siwaelew mshahara haujachelewa kawaida ni tar 28 leo mtu analalamika cjui wa wap huyu wenzio tunaenda kuchua hela benk pale unapokuwa na shida sio uende kwa sabb mshahara umetoka ndo maana utakuta folen ndefu kama wanapiga kura kumbe watu wasiojua kujituma na plan b
 
Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Huu utaratibu bado upo hai?
 
Mmewatukana Mabenki yanayopokea mishahara ya watumishi. Wanasemekana wao wanawafahamu watumishi hewa.
 
Daah hayo mahela yaliyosalia hazina baada ya watumishi hewa kuondolewa,,Sasa Serikali Inilipe Madeni yangu sasa...aaghh..!!!Nshachoka kusubiri miee...
 
Na mm siwaelew mshahara haujachelewa kawaida ni tar 28 leo mtu analalamika cjui wa wap huyu wenzio tunaenda kuchua hela benk pale unapokuwa na shida sio uende kwa sabb mshahara umetoka ndo maana utakuta folen ndefu kama wanapiga kura kumbe watu wasiojua kujituma na plan b
hahaaa, watu kama hawa hawaezi kusimama peke yao kabisa, wakistaafu hata yale mafao wanayopewa wanashindwa cha kuyafanyia wanabaki masikini tuu
 
Kuna mtu alipata pension million 60 kwa uvivu wa kufikili akapeleka dec kupanda mbegu ilipogoma kuota na wale wachungaji kulula mbele alikosa hata hela ya kununua kamba ya kujinyongea akaishia kuwa chiz tu bora ukose mali upate akili rip BANZA STONE
 
kwa mtazamo wake hakufanya vibaya kwani walikuwa wanaendesha shughuli kihalali, yy alitegemea atafuna si amefanya investment
Mishahara imeshatoka wakuu muwe na Amani ila mtumie kwa akili!!
mi kwangu bado
 
kwa mtazamo wake hakufanya vibaya kwani walikuwa wanaendesha shughuli kihalali, yy alitegemea atafuna si amefanya investment

mi kwangu bado
Hakuna investment za hivyo duniani sema ni uvivu wa kujishughulisha unaempa hyo hela yy anafanyia nn hadi akupe ww faida and y could u do yourself hyo investment
 
Back
Top Bottom