Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Wakuu nadhani mtakukumbuka sakata la kutekwa na kuteswa kwa kijana George Mgoba mwaka jana kama alivotekwa na kuteswa Dr ulimboka mwaka 2012, na kuteswa kwa Absalm Kibanda mwaka 2013, na mwaka huu kutekwa na kuteswa kwa Mwandishi Salma.
Huyu Kijana toka mwaka Jana DPP aliweka pingamizi aisachiwe mpaka kesi itakapokwisha, concern yangu ni kwamba kama walimuweka ndani kutokana na mambo ya uchaguzi mwaka jana, uchaguzi umeisha kwa nini DPP asitoe dhamana?. huyu kijana tokwa ateswe na kutupwa kule msituni bado mpaka leo anapata matibabu ni unyama kiasi gani kumtesa kijana mdogo aambaye ni nguvu ya uzalishaji hapa nchini kwetu.
watu wa ofisi ya DPP naomba mumsaidie huyu kijana, msije kuwa jipu.