Tundu Lisa kutibiwa na serikali ni haki kisheria sio hisani. Serikali kuudumia wananchi katika huduma za kijamii ni haki. Uelewe serikali haifanyi biashara zaidi ya kodi zetu
Swala sio ukweli. Kila kitu serikali inajua na inafangia kazi swala kama ni tafiti kwa nini haikufuata taratibu inayotakiwa? Huwezi ingia nchi ya watu na kufanya utafiti bila kuhusisha taasisi zinazohusika na tafiti. Je unajua mtafiti anaelimu gani? Je njia anayotumia inaweza toa jibu sahihi ya...
Katika kila nchi kuna utaratibu wa kufanya utafiti, na katika nchi yetu mtafiti mgeni anabidi awakilishe proposal, kujanza fomu na CV yake ili kujua uwezo wa mtafiti na kujua kama njia anayotumia inaweza toa majibu sahihi ya tatizo analochunguza. Pia mtafiti anabidi kushirikiana na taasisi ya...
USA hawezi pigana na nchi inapakana. Na hii sababu Marekani inasita kila wakati. NK analega kupiga mji mmoja Marekani na vita vitaisha. Pili NK na nchi za Asia zina uzarendo sana kuliko USA hadi kukubali kufa kwa nchi yao. Nahisi hakutakuwa na vita
Wala sikuelewi kabisa! Unajifanya unajua siasa ya tanzania wakati hujui! Demokrasia ya vyama vingi haina miaka 50. Kabla ya hapo tulikuwa na mfumo mwingine. Nenda shule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.