platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Speed n standard usipokuwa na speed Yangu utaishia kulalama jf kilasiku
Ha ha ha
Speed n standard usipokuwa na speed Yangu utaishia kulalama jf kilasiku
Halimamdee kaeleeza magazetinileo akuna alielishwa sumu...akaeleza walipofika huko hata kabla ajala chochote h Ali ilikuwa tata akaaja Dk akaumuuliza Dk wa nkono anaumwa nini...dk wa mb akamwambia anaitaji dawa Fulani akinywa inakuwa haliyake poa...akauliza kama alilishwa sumu iweje Dk wake aseme MPE dawafudenge??gafla yukosawa
Akaomba nkono aeleze ukweli anaumwa niini badala ya kusingizia amelishwa sumu
Patamu
Kwako NN.tupe
diddy! mwandiko wako unazingua sana, hivi toka umejiunga jf hujajua tu kuandika vizuri?
Speed n standard usipokuwa na speed Yangu utaishia kulalama jf kilasiku
ARVs zikisha fail mnasingizia sumu. Kwani hata kwa kumwangalia tu jibu si unalo. Kwisha jazi.
unajua hivi vizee havitaki kungatuka mpk viabishwe! Vimejichotea mahela tangu enzi za Uhuru lakini havitosheki!
Wacha kipewe sumu hakina effect yoyote ajuza! Hata kutembea kinapepesuka!
Kipeni sumu kirest in pc nyambaaf zake! Ulafi tuu!
Mkono na Chenge wana tofauti ndogo sana
Hakuna cha speed hapa mimi nakuona zuzu tu.