teh teh tehAaaah aaaah. Basi hata ebhibhambala na ebhise utakuwa unavijua mkuu.
Ha ha haNilichapwa sana na Mzee katika jitihada zake za kuzuia harakati zetu za kuwavua kwenye madimbwi au mito na kuwachoma kwa moto nyuma ya nyumba au chobingo, then tunawala vizuri kabisa.
Ila siwali tena siku hizi!
Nawajua wote mkuu. Nimekaa sana kanda hiyo. Haya niambie kama unawajua samaki aina ya mbete, soga, mbinga, njegele na imamba.teh teh teh
Mkuu mpaka makayabo najua namna ya kuyatengeneza aisee.
Majulijuli unayajua aiseee wengine wanaita vijuli juli??
Kuna wale wanaitwa matusi ya mwanza, wale ambao miaka ya 90 waliua sana watu kwa miiba yao unasa kooni ushawala??
Aisee maisha ya ziwani matamu sana
Swadakta mkuu.Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
Mumi ni tofauti na hawa kambale. Hata kanda ya ziwa Kambale wapo mitoni kwenye tope na kwenye mabwaya ya vinyesi. Wale Mumi was ziwani ni tofautiHivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
hahahahahUnakula vichafu kwa kuwa nivitamu?!!
Ni chura hao.Yaani kambale umpate na tui bubu la nazi, nyanya chungu, bamia....hoho na karoti afu umkamulie na kandimu kidogo, tafadhali bhana, pembeni sima ya bada.....mchana wako lazima uwe murua.
Kambale watamu sana maana unakula mpaka miba na kichwa chake.
MPAKA CHUMVIN WANAZAINGIA..WANAJIDAI TU HAPA..hihihihiihihihihihihihih, Mavi kitu gani mi watu wanaojitia kinyaa wananiudhi mno wakati wanachezea mavi yao kila wakienda toilet
Hawa wanavuliwa kwenye maji ya mavi... Mabibo na msasani... Niliapa sitakula kambale bongo.. Tena wa mabibo ni wakubwa kinoma
Kambale ni samaki mtamu Sana na mwenye minofu yakutosha tuu.. Lakini kwa wapenzi wa kambale hapa bongo poleni kwa kulishwa kambale wanaovuliwa kwenye maji taka ya Mabibo, msasani na kwingineko....
Kama tigo au vipi?Nguruwe na bata ni wachafu sana
Ila
Waaataaaamu
Kwa mujibu wa walaji
Na mtoa mada unajuaga tu vitu flani, kwa kifupi
"Vichafu vitamu"
Daah yaani kuanzia sasa hamu imeniisha kwako Madame.Yaani kambale umpate na tui bubu la nazi, nyanya chungu, bamia....hoho na karoti afu umkamulie na kandimu kidogo, tafadhali bhana, pembeni sima ya bada.....mchana wako lazima uwe murua.
Kambale watamu sana maana unakula mpaka miba na kichwa chake.