MILELEOyeeee!
Kwa mbali naona point yako, japo ni chunguCHADEMA bana!
Ninakumbuka ‘’mkwala ‘’ waliopiga CHADEMA siku ambayo walitangaza kuingia kwenye uchaguzi wa majimbo ya Kinondoni na Siha.
Walituambia kuwa kwa sasa hawataki tena kulalamika na watahakikisha kinaeleweka katika Uchaguzi huu.
Ni kweli kimeeleweka kuwa, viongozi wa sasa wa CHADEMA ni mabingwa wa ‘’mikwala mbuzi’’ .
Nilishangaa sana jinsi viongozi wakuu wa CHADEMA walivyoyeyuka juzi katika bonde la mto Mkwajuni baada ya kukumbana na mkono wa vyombo vya dola wakati wakiandamana bila kibali kuelekea kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni!
Mbowe na viongozi wenzake wakuu waliyeyuka kiajabu na kuwaacha kama kafara wafuasi wao katika mikono ya vyombo vya ulinzi.
Jiulize, Mbowe na viongozi wenzake walikuwa mbele ya msafara katika maandamano lakini cha ajabu hawakupata hata moshi au vumbi la bomu la machozi!
Siwezi kushangaa tena wakija na ‘’mkwala mbuzi’’ mwingine ili tu waendelee kuwaaminisha wajinga kuwa wao ni ‘’makamanda’’ kweli kweli.
Huu ndio uamuzi mgumu aliosema Lema na kudai taifa lijiandae??
nguvu za matusi tu, waendelee maana ndiyo sera yao matusi na vurugu.hahahahahaha,atakinukisha kwenye keybod
Nashauri kwa technique kama ya Raila, wamuapishe tu Mwalimu kama mbunge wa Kinondoni.kwa hali iliyofikia tanzania tunamuhitaji raila wetu. kama mbwai na iwe mbwai...
Aliwaongoza Dr.Mihogo kuingia mtaani hadi akavunjika mkono bado mkaja kumuita msaliti,leo unamzungumzia nani mwenye uwezo huo wa kukuongoza mtaani,mbowe,mashinji,Lema ambaye kwa sasa mguu ndani mguu nje??Lissu??kwanza lissu sio mtu wa kuandamana ni mtu wa kwenda mwenyewe yeye kama yeyeCDm tuongozeni tuingie mtaami....mbona zitto katoa wazo hilo tangu jana
CHADEMA bana!
Ninakumbuka ‘’mkwala ‘’ waliopiga CHADEMA siku ambayo walitangaza kuingia kwenye uchaguzi wa majimbo ya Kinondoni na Siha.
Walituambia kuwa kwa sasa hawataki tena kulalamika na watahakikisha kinaeleweka katika Uchaguzi huu.
Ni kweli kimeeleweka kuwa, viongozi wa sasa wa CHADEMA ni mabingwa wa ‘’mikwala mbuzi’’ .
Nilishangaa sana jinsi viongozi wakuu wa CHADEMA walivyoyeyuka juzi katika bonde la mto Mkwajuni baada ya kukumbana na mkono wa vyombo vya dola wakati wakiandamana bila kibali kuelekea kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni!
Mbowe na viongozi wenzake wakuu waliyeyuka kiajabu na kuwaacha kama kafara wafuasi wao katika mikono ya vyombo vya ulinzi.
Jiulize, Mbowe na viongozi wenzake walikuwa mbele ya msafara katika maandamano lakini cha ajabu hawakupata hata moshi au vumbi la bomu la machozi!
Siwezi kushangaa tena wakija na ‘’mkwala mbuzi’’ mwingine ili tu waendelee kuwaaminisha wajinga kuwa wao ni ‘’makamanda’’ kweli kweli.
Shangilia uovu kuna siku utawafika wenyewe.CHADEMA bana!

Da'Mange alishawaambia kabla ya huyo Zitto, mnangoja nini?CDm tuongozeni tuingie mtaami....mbona zitto katoa wazo hilo tangu jana