Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,777
Kwa taarifa yako system nayo imegawanyika!!!!!!
Haahaaa
Kwa taarifa yako system nayo imegawanyika!!!!!!
Nadhani hujui kutofautisha kazi ya system na vyama vya siasa !!! System za nchi nyingine hufanya kazi zake kiutaaalamu na sio kisiasa nyie system ni ccm !!! POOR YOU[/QUOTE)
Eti system ni Alfa na Omega mara ilisha Anticipate!!!! Ndg wenye nchi wakiamua hata hyo system unayoisema haina hiyo ALFA wala huo UMEGA hv ni nchi ngap zilikuwa na system tena imara kuliko hata hii ya CCM na leo zilidondoshwa ? Achen kutuhadaa watz kwa propaganda na vitisho vya kitoto. Watanzania ambao ndio wenye nchi wameshaamua kubadili mfumo wa utawala y system ya CCM? Kwa malengo ya Nani?
wamechanganyikiwa baada ya kuona vibarua vyao ndio vinaishia hivo. hawaoni mbele giza ndio maana wanakuja na imaginary things ambavyo havipo Tanganyika.
system ya nchi hii tunaifahamu na ujinga wao ndio maana walimtuma mtu anayefahamika kwenda kumuua ulimboka akitumia simu iliyosajiliwa kwa majina yake.
hivi umeshafikiria ni wangapi watapoteza vibarua vyao ukawa wakichukua nchi??
imagine wakuu wa wilaya, mikoa, makatibu wakuu, wakurugenzi na washenzi wengine wengi!!
ni lazima wapanic waje na vitisho?
Kweli wewe ni system au SYSTEM NDIYO NANI?
Huleti hoja yenye majadiriano ya mlingano unakuwa kama unatishia ipo system tafsiri nyangu mfumo.
Mfumo ulishatafunwa na panya wa system CCM
Yanapozungumziwa mabadiliko maana yake "system" imeshindwa
Kwa sasa mioyoni mwa baadhi yetu tunataka hata hiyo inayoitwa system itokomee
Wewe kwenye jamvi hili ni veteran lakini kwa bandiko hili umejitenga na baadhi yetu na kujiunga na wamiliki wa CCM wenye ukwasi wa kuiweka system mfukoni.
Tuna kawimbo ketu ka utotoni tulipokuwa tunaishi kwenye mbavu za mbwa "KIBANDA BOMOKA TULALE NJE". Wimbo ulibeba maudhui kuwa kibanda kikibomoka labda wazazi na ndugu watajenga kibabda mbadal.
Kwa sasa kunahitajika mbadala wa kila kitu. Na wewe badirika kama mimi.
TUNA HAMU NA SYSTEM MBADALA SIYO HII YAKICHOVU

Nadhani hujui kutofautisha kazi ya system na vyama vya siasa !!! System za nchi nyingine hufanya kazi zake kiutaaalamu na sio kisiasa nyie system ni ccm !!! POOR YOU

Ningekujibu kwa undani kuhusu system unayotaka kutuaminisha lakini nakusale.Mkuu mbona sijatishia yoyote...labda wewe tu ndio uliyetishika!
Mabadiliko kamwe sio ishara ya system kushindwa ...kwani kuna mabadiliko mangapi yaliyotokea nchini?
System haiwezi kutokomea kamwe...labda kama unataka wewe na watanzania watokemee!
Mimi ni mtu mdogo sana hapa jamvini ...wako ambao ni maveterani mkuu!wewe ndiye unataka nijitenge na wanajamvi lakini haitawezekana kwani wanajamvi ni Great thinkers!
UNAKOSEA SANA KUSEMA SYSTEM NI YA KICHOVU..NAAMINI UTATAMBUA TU KUWA SYSTEM HUWA HAICHOKI!!
#Heshimakwakitengo

Ningekujibu kwa undani kuhusu system unayotaka kutuaminisha lakini nakusale.
System yako unayotuaminisha ni chaka kavu inangoja cheche igalambulike. Nimesema system yako ni chovu kwa sababu kila kitu kinachotokea kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo ni miscalculation za system yako.
Unajua kama ninavyojua kuwa msimamizi mkuu wa hii system hana sifa yo yote ya kuwa msimamizi wa system ndiyo maana inamporomokea mikononi mwake hajui wala hajali.
Kama uko karibu na hiyo system waambie kabisa wasijaribu kuingilia cho chote kinachoendelea watavunja mwiko wa kusurvive ndani ya system. Kwa maana hakuna mwenye uwezo wa kuhili kinachotokea
Hakuna ushabiki nni maoni yaliyojikita kwenye facts on the ground.
SYSTEM ILIVYO SASA NI MPARAGANYIKO Hii ni hitimisho langu kutokana na matukio na takwimu za hali ya mambo ilivyo
System ni muunganiko wa organs mbalimbali zinazofanya kazi moja hili ni somo la darasa la saba au form one!
Ningekujibu kwa undani kuhusu system unayotaka kutuaminisha lakini nakusale.
System yako unayotuaminisha ni chaka kavu inangoja cheche igalambulike. Nimesema system yako ni chovu kwa sababu kila kitu kinachotokea kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo ni miscalculation za system yako.
Unajua kama ninavyojua kuwa msimamizi mkuu wa hii system hana sifa yo yote ya kuwa msimamizi wa system ndiyo maana inamporomokea mikononi mwake hajui wala hajali.
Kama uko karibu na hiyo system waambie kabisa wasijaribu kuingilia cho chote kinachoendelea watavunja mwiko wa kusurvive ndani ya system. Kwa maana hakuna mwenye uwezo wa kuhili kinachotokea
Who provides the facts at the ground?System?
Who analyses the facts at and from the ground?super system??
Who decides with and the facts at the grounds and acts on them?superior system?