Mafuta mazuri ya wanaume

Mafuta mazuri ya wanaume

Thread Tata Hii Bila Shaka Inaweza Kuwa Ni Bora Ama Inayoleta Tabu Jf 2017
 
Atakae kufata PM sio mwanaume, bali atakuwa na sifa chache za mwanaume.
Mwanaume kamali sio Rahisi hivyo

aeiou
 
Biashara ni matangazo Mkuu sasa unaposhindwa kuonyesha bidhaa zako hadharani sijui una hofu ya nini maana ukifanikiwa kuonyesha watu na Maelezo hayo itakuwa baabkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh mimi makalio yangu naogopa hata kuyashika halafu leo naambiwa niyapake mafuta yawe laini, kazi kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapopaka mafuta mwilini kila sehemu ya mwili inapaswa kupakwa mafuta kama makalio ni sehemu ya mwili inahusika pia, inashauriwa ukimaliza kuoga kabla hujavaa nguo paka mafuta ukiwa ukiwa uchi ili kila sehemu ipate haki yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
Ndio shukurani ya kuolewa hiyo....kijana mwenzako umemuwekea sharti la kupaka mafuta Makalio yake kisa asikuchanie Mashuka anayonunua kwa pesa yake...!!

Duuh....ama kweli... hakuna wake siku hizi...ndio maana Zilipendwa inapendwa zaidi ya Seduce me....!!

Sijamsema mtu mimi...

Similar Discussions

Back
Top Bottom