Recent content by Big Phil

  1. Big Phil

    Zijue platform zilizowahi kuibia watu

    1. BC INVESTMENT Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/= 2. QNET Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia. 3. EARNJET AGENCIES Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja...
  2. Big Phil

    Nini kinaendelea SRILANKA?

    labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje hela?inamaana noti zimepotea? Mwingine hata huelewi SRI LANKA yenyewe ndo wapi. So twende nikupe...
  3. Big Phil

    Kijana Mwenye Ndoto Kubwa, Jifunze haya...

    1. Jifunze kuwa Mbunifu. Hakuna kitu kipya sana,vitu ni vilevile,lakini kama kijana mwenye ndoto kubwa jifunze kuwa mbunifu,Usiendelee kufanya vitu kwa mazoea,Kuwa mbunifu katika kila jambo unalofanya ili ulete utofauti katika eneo husika. 2. Jifunze stadi za Maisha (Life skills),Duniani kuna...
  4. Big Phil

    Simu Mpya vs Simu Used

    Unahitaji kununua simu mpya lakini kwa bei hiyo hiyo unakutana na simu used yenye uwezo mkubwa zaidi ya mpya. Unabaki njia panda Maamuzi sahihi ni kununua simu mpya na maamuzi sahihi ni kununua simu used. Namaanisha [emoji116] SIMU-MPYA inakuhakikishia kuwa wewe ndiye mtu wa kwanza kuitumia...
  5. Big Phil

    Afya ya akili ni muhimu sana kwenye jamii yetu ya Tanzania

    Habari! Kumekuwa na taarifa nyingi za kushtusha za mauaji ya wanandoa, watoto, na kesi nyingi Sana za kushtusha ambazo mwanzoni hazikuwa zinatokea mara kwa mara kama ilivyo sasa hivi. Huwa na jiuliza tatizo ni nini haswa. 1. Maisha magumu? 2. Mmong'onyoko wa maadili kwenye jamii zetu. 3. Stress...
  6. Big Phil

    Maneno 20 ya hekima niliyowahi kuambiwa na Mama kuhusu Dunia yakanisaidia

    1. Mwanangu Hatuwezi kuwa sawa wao wazazi wao wanawapa wanachotaka, Sisi wazazi wako Tutakupa Tunachopata.. Zifatilie zingine ishirin( 20 ) Hakika zitakufundisha na Wewe... 2. Mwanangu Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake. Mshukuru Mungu kwa kila...
  7. Big Phil

    Namna ya kumpigia aliyekublock

    [emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️ [emoji432][emoji432][emoji432][emoji432] Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au hapatikani na ukimcheki kwa namba nyingine anapatikana hii hapa trick ata kama ameku block simu lazima ita...
  8. Big Phil

    Mahusiano na ndoa!

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  9. Big Phil

    Celebrities death that shook the world

    Michael Jackson – (50) 1958 - 2009: In 2009, MJ, known as the King of Pop, was found dead at his home in Los Angeles. He reportedly suffered from a cardiac arrest. In the week after his death, he became the 1st artist to have sold over a million digital tracks in a week Paul Walker (40) Paul...
  10. Big Phil

    Jinsi ya kujipatia Heshima

    1. Acha kuwaomba watu kila wakati, muamini Mungu kwa kila jambo. 2. Acha kuwafuta wasiyekutafuta. 3. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao kula chako. 4. Punguza jinsi unavyowatembelea baadhi ya watu hasa pale wanapokuwa hawaonyeshi kujali. 5. Wekeza ndani yako. Jifanye kuwa na furaha...
  11. Big Phil

    Jifunze Haya kutoka kwa Alpha Males

    ~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin ~Watu hawa wanaitwa Alpha Males ~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi wanahitaji kuwa na watu hao ~ Hawa ni watu ambao wanaishi as if dunia wanaimiliki wao. Na mara...
  12. Big Phil

    How to stop being shy and awkward forever

    Find out your why You gotta ask yourself, "Why do you even want to stop being shy and awkward?" "To impress others?", "To make your circle bigger?" or something else? Jotting down the reasons will incentivize you to actually start working upon it. Don't just aim blindly. Remove the labels...
  13. Big Phil

    Kuna mtu mmoja mwenye busara aliwahi kusema hivi:

    1. Kamwe usichumbie mke wa rafiki yako, kwa maana unajiweka wazi kwenye kifo; 2. Kabla ya kufunga mlango wa kulala, angalia ikiwa haujasahau kitu nje; 3. Rafiki yako akipata riziki, uwe na furaha, na milango pia itafungua zamu yako; 4. Usiseme sana mbele ya wazee wako, bali sikiliza sana...
  14. Big Phil

    KGB agent alivyouliwa kinyama na majasusi wa Bongo

    Miaka ya 70’s 80’s Tanzania kutokana na sera yake ya ujamaa ilikuwa ana urafiki mkubwa na nchi ya Urusi, katika urafiki huo uliwezesha wanafunzi wengi wa Kitanzania kwenda kupata masomo kwenye vyuo vikuu vya Urusi [emoji116] Hii ilikuwa fursa kubwa kwa nchi ya Urusi kupata nafasi ya kuingiza...
Back
Top Bottom