Recent content by bibiinna

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    End of the day mimi..wewe..yeye..wale...wao...sisi..tunakuwa RIP
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Hata Bunge Live kwa sisi wastaafu kilikuwa kinatupa matumaini ya kiendelea kuishi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    Kwa mara ya kwanza nimefurahishwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar kwa kusimama na miguu yake mwenyewe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa mh.rais wa awamu ya tano!!je? Ni yule aliekuwa wa awamu ilopita?

    Fanyeni mjadala kwenye mambo yanayowahusu...ya Mh.Rais na ulinzi wake hayawahusu kabisa.Kuweni na mipaka ya kila kitu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Flat Screen TV 32'' Mpyaaa laki 4.5

    Unaruhusu kufungua box na kufanya testing
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya parole yuko wapi?

    Mwenyekiti wa hii BOARD Mh.Dr.Augustino Lyatonga Mrema tumemskia mara ya mwisho alipofanya mkutano na Bodaboda drivers...na sasa ni kipindi kirefu hatujamsikia.Je yuko Dar au amekwenda kwa semina elekezi kuhusu kazi yake...???
  7. B

    JamiiForums Tanzania Weka hapa nukuu kutoka kwa viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Nia ya kumpiga tunayo...Uwezo wa kumpiga tunao...Sababu za kumpiga tunazo Mwl.Nyerere.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Good masterplan ni Iringa...Moshi....Tanga.miji mingine inafuata hiyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Magufuli chondechonde njaa kali

    Allah ni mjuzi.....anayajuwa yaliyo vifuani mwetu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM Dimani jitoe, hiyo ni laana

    No...No....ya Mako na Mwl.Nyerere ni tofauti kabisa na haya ya Dimani.Mwl.alishangaa watu wa ARK kumchagua Mako wala hakumkataza kugombea.Kuwa mkweli angalau kwa muda tu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kadi ya gari BMW X5 inahitajika

    Unakaribia mwisho wa kuwa huru ndani ya nchi yako
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je waziri Mkuu Majaliwa amefuta posho zipi za madiwani?

    Hebu tufanye Subra......Utu uzima dawa.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala kuhusu swala la Mbunge wa Arusha Mhe. Lema

    One day ......Lema atakuwa huru au atatiwa hatiani na kupewa adhabu. One day....mimi au wewe tutakuwa RIP,tumu ogope Mwenyezimungu. All the days....mimi na wewe tufuate sheria bila shuruti tutakuwa na furaha.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    Uko sahihu kabisa.Je hili nalo ni sahihi.....Serikali kupitia vyombo vyake imeona dhahir shahir mtu anaibiwa au anaporwa mali zake, haitachukuwa hatua mpaka anayeporwa alalamike....????? Siungi mkono mambo ya kutabiri vifo vya watu....Mauti ni jambo lipo nje kabisa ya uwezo wetu. Urahisi rejea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukiacha wazee wa kaz ngorika,bufalo na dar express bus gani linashika nafac ya speed kwa sasa

    Coaster kibao zinasafiri usiku...DAR/ARK. Dept Dar saa tatu usiku Arrival ARK saa kumi na mbili asubuhi Masharti.....kuimba kwaya ndani ya gari
Back
Top Bottom