Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala kuhusu swala la Mbunge wa Arusha Mhe. Lema

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Screenshot_2017-01-05-13-18-03.png
 
Wakiki msomi .... Hahahahaha

Hivi Lisu yeye huwa anaenda kusaidia kesi za aina gani?

Ila hata hivyo Lema akitoka atakuwa kaipata fresh.

Alafu hongereni mawakili wasomi, maana kwa hela mnayoipiga hapo chadema kwa ajili ya hii kesi si mchezo!
 
HAHAH kelele nyingi na tambo nyingi badala wazioneshe wakiwa mahakamani wanaonesha kwenye mitandao ya kijamii halafu wakishindwa wanasema kuna mkono wa mtu...
Yani alivyo andika kibatala anataka kuwaaminisha watu kuna mkono wamtu kwenye case ya Lema lakini sijui wakishinda watasema kuna mkono wa nani?
Mahakama zetu ziko huru tatizo watu wanafikiri ziko huru tuu pindin wao wanapo shinda case...
 
Wakiki msomi .... Hahahahaha

Hivi Lisu yeye huwa anaenda kusaidia kesi za aina gani?

Ila hata hivyo Lema akitoka atakuwa kaipata fresh.

Alafu hongereni mawakili wasomi, maana kwa hela mnayoipiga hapo chadema kwa ajili ya hii kesi si mchezo!
Nimeelewa ambacho kimeandikwa hapo na Wakili Msomi Peter Kibatala au mnakimbilia kuandika pumba?
Mawakili upande wa serikali wakishindwa kwenye mahakama ya rufani labda waende mbinguni
Naona ni blah blah wakati kamanda anayea debe ....

"ACHA KUPIGA MAYOWE, ACHA WAYAONE WENYEWE"...

Mwanasheria nguri wa chama T Lissu kwanini amesusia hii case? ? Lema ajifunze, siasa za kuigiza siyo kipindi chake hiki.
 
Naomba kuuliza, badala ya kusimama kumtafuta Mh Lema dhamana kwanini kesi yake ya msingi isiendelee kutajwa au kusikilizwa? Labda ingekuwa imekwisha...
 
huu alioandika ni UPUUZI hii ina maana ya kwamba anatuaminisha wao ni bora zaidi ya hao MAWAKILI wa serikali...mwisho wa siku anae umia ni LEMA...maana wanatakiwa kukumbuka wanapotoka kwenye jamii na kujitapa hivi ya kuwa watamtoa LEMA waelewe pia NA mawakili wa SERIKALI na wenyewe lazima wajipange vilivyo kisheria ILI NA WAO WASHINDE HII BATTLE wapate kiki....SASA MWISHO WA SIKU ANAYEUMIA NI LEMA si wao.....VITU KAMA HIVI HAVIITAJI UJUAJI maana kuna kushinda na kushindwa so HE HAS TO BE KEEN WITH HIS TONGUE.......hata mara ya kwanza alijitapa hivyo hivyo mwisho wa siku akaangukia PUA.....
 
huu alioandika ni UPUUZI hii ina maana ya kwamba anatuaminisha wao ni bora zaidi ya hao MAWAKILI wa serikali...mwisho wa siku anae umia ni LEMA...maana wanatakiwa kukumbuka wanapotoka kwenye jamii na kujitapa hivi ya kuwa watamtoa LEMA waelewe pia NA mawakili wa SERIKALI na wenyewe lazima wajipange vilivyo kisheria ILI NA WAO WASHINDE HII BATTLE wapate kiki....SASA MWISHO WA SIKU ANAYEUMIA NI LEMA si wao.....VITU KAMA HIVI HAVIITAJI UJUAJI maana kuna kushinda na kushindwa so they have to watch out their TONGUE.......hata mara ya kwanza alijitapa hivyo hivyo mwisho wa siku akaangukia PUA.....
Mbona mafisadi HAWASHITAKIWI?Lema anaonewa na mamlaka toka juu tu,freedom is coming
 
Mbona mafisadi HAWASHITAKIWI?Lema anaonewa na mamlaka toka juu tu,freedom is coming
sasa wewe unaona ALICHOKILOPOKA NI SAHIHI acha ABEBE MSALABA WA UPUUZI WAKE...na ndio maana hata MBOWE wala LISSU hawajapeleka pua zao hata kwenda kumsalimia......
 
Naona kaandika we will celebrate defeating goliath
Labda niulize tu anamaanisha nini? Serikali ndio Goliath? Goliath ni nani? ni RAisi? NI mkuu wa mkoa? Who is he? The writter has a case to answer here.Ikiisha case ya lema somebody should be taken to task to tell the court who is GOLIATH he is referring to.
Umeshajibu anajiona yeye ndo Mungu ndo Goliath.
 
Back
Top Bottom