Yupo india kimatibabu mkuu vipi unamfungwa wako nini!!!Mwenyekiti wa hii BOARD Mh.Dr.Augustino Lyatonga Mrema tumemskia mara ya mwisho alipofanya mkutano na Bodaboda drivers...na sasa ni kipindi kirefu hatujamsikia.Je yuko Dar au amekwenda kwa semina elekezi kuhusu kazi yake...???