wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,123
- 27,369
Hili swali nimekuta sehemu wanadadisi nami nikashindwa kupata majibu kamili maana kila mtu alijibu anavyojua wengine walidai ni yule yule wengine wanasema ni mwingine tena wakaenda mbali wanakesema swala la walinzi wa rais ni rais mwenyewe anajichagulia!!je!! Kuna ukweli?? Wajuzi naombeni ufafanuzi wenu!!