Ni kwamba kufuatia na uduni wa maisha ya madiwani na kutokuwa na uwezo wa kifedha au chanzo cha uhakika...
Asasi za kiraia na Taasisi zisizokuwa za serikali, Nchi wahisani wa bajeti ya Tanzania na wadau mbalimbali wa maendeleo waliona hatari kubwa ya kundi la madiwani linalosimamia ma billioni ya fedha za halmashauri huku wa kiwa na njaa kali..
wakapeleka mapendekezo kipindo cha Rais Jakaya Kikwete,kama njia ya kuwapa motisha Madiwani ili kusaidia udhibiti wa fedha za seeikali za mita kiliwa bila ya wao kuwa na taarifa.
Mapendekezo yao yalikuwa yafuatayo.
1.Madiwani wapate fedha ya kujengewa uwezo wa kikazi(CABACITY BUILDING)
2.Madiwani fedha hiyo ya kujewajengea uwezo itumike kwa mambobyafuatayo
*(a)* waitumie kununulia vocha kuongea na wananchi wao au viongozi wenzao wanapo hitaji
*(b)* Madiwani fedha hiyo waitumie kama nauli wanapoenda kutembelea Miradi ya maendeleo,a shule au barabara au mtaro unajengwa kwemye kata yake imfikishe kirahisi na akibaini ujenzi ni chini ya kiwango atoe taarifa kwa Meya au mkurugenzi.
*(c)*Itumike kufadhili vikao vya diwani na wadau mbali mbali Kwenye kata yake.
*(d)*Itumike kufadhili maandalizi ya mahitaji ya mkutano anapphotaji kuongea na wananchi wake kwenye kata yake.
*JE POSHO HII YA CAPACITY
BUILDING(KUMJENGEA UWEZO DIWANI NI KIASI GANI)*
Fedha hiyo ililetewa muongozo kutoka WIZARANI -TAMISEMI na kuwa Fedha hiyo hakuwa sawia kwa halmashauri zote nchini bali ilikuwa Kila halmashauri ijilipie Madiwani wake posho hiyo ili wafanye kazi tajwa hapo juu kulingana na makusanyo yao ya ndani(OWN SOURCE)
Mfano kwa Dar tu kiasi cha fedha kwa kila diwani kumjengea uwezo.
KINONDONI 400,000
UBUNGO 400,000
TEMEKE 500,000
ILALA 800,000
KIGAMBONI 500,000
JE NI WAZIRI MKUU MAJALIWA KAPOTOSHWA AU HAKUJUA UKWELI?
Waziri mkuu majaliwa kapotoshwa na wasaidizi wake au Wanasiasa MA DC NA ma RC kwa makusudi au kwa bahati mbaya; sababu ni hizi
1.Waziri mkuu Majaliwa Kassimu alikuwa Naibu waziri TAMISEMI chini ya OFISI YA WAZIRI MKUU Mhesjimiwa Mizengo PINDA kipindi cha Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa karibu miaka 5,mimi nikiwa Diwani anaujua utaratibu huu.
2.Kitendo cha Waziri Mkuu majaliwa kuambiwa zilikuwa zinaitwa "Fedha za miradi ya maendeleo"si kweli kama zilikuwa ni fedha za miradi ya maendeleo, mheshimiwa waziri mkuu anajua kuwa miradi yote Ya Halmshauri inatangazwa na mkurugenzi wa halmashauri na fedha hizo zinakuwa chini ya mkurugenzi, ili mtu alipwe mkurugenzi husaini madokezo kwa MUNICIPAL TRESURER(MT) mweka hazina hulipa fedha hizo za miradi kwa mzabuni au mkandarasi,si kupitia madiwani.
3.Mheshimiwa waziri mkuu anajua kuwa fedha hizi za kuwasaidia madiwani kuwajengea uwezo ilikuwa zinalipwa akaunti za manedeleo kila kata kutokea halmashauri na mtendaji kata na mhasibu wa kila kata wanaenda wao benki ku with draw na kisha kulipwa kila diwani iwe kwa kila akaunti kama posho zingine isipokuwa za vikao tuh huliowa mkononi.
4.Mheshimiwa waziri mkuu alipotoshwa alipoambiwa MANISPAA YA UBUNGO tumetumia millioni 55 mwaka sasa na kwamba mpaka mwaka kuisha yungetumia millioni 300, si kweli kwa sababu MANISPAA YA UBUNGO imewalipa madiwani wake kwa mwezi Novemba tu, na ina miezi miwili tangu kuanzishwa kwa MANISPAA YA UBUNGO.
KWA KIASI cha Tsh 400,000 kwa kila diwani na madiwani tupo 22 so kujua kiasi kilichotumika ni 22 × 400,000= 8,800,000 millioni nane na laki nane nasiyo aliyo ambiwa millioni 55 kujua kiasi kitakacho tumika kwa mwaka unazidisha 8,800,000×12=105,600,000 na siyo millioni 300 kwa mwaka kama alivyosema.
5.kwamba halmshauri zinatumia ma billioni ya fedha kwa posho,siyo kweli zamani watumishi wa halamshauri walikuwa wanakuta chai au muda mwingine chakula halmashauri lakini utaratibu huo ulishaondolewa tangu kipindi cha Rais Jakaya kikwete,
na kwamba vitafunio ni siku za vikao tu, na vikao ni idadi hiyo mabaraza ni 4 kwa mwaka maana yake chai nne, kamati za madiwani ni mara 4 kwa mwaka....kwa halmshauri ya watu 22 weka na watendaji wakuu wa idara 20 watu 42 kwenye vikao 16 kwa mwaka chai yao inafikaje billioni? na chai yenyewe ni viazi,maandazi,maziwa na ndmheshimiwa waziri mkuu alikuwa Naibu waziri pale tamisemi amehudumu kwa mika mingi sana na hata vikao vya ALAT amekuwa akialikwa mara kadhaa kusikia vilio vya mameya na madiwani na kuhaidi kuyupambania kuongeza maslahi ya madiwani,kama amegeuka kuwa ni mwiba kwa madiwani nani mwingine atakaye tupigania? Hizi za kukaanga au vitumbua na chapati tu?
mheshimiwa waziri mkuu alikuwa Naibu waziri pale tamisemi amehudumu kwa mika mingi sana na hata vikao vya ALAT amekuwa akialikwa mara kadhaa kusikia vilio vya mameya na madiwani na kuhaidi kuyupambania kuongeza maslahi ya madiwani,kama amegeuka kuwa ni mwiba kwa madiwani nani mwingine atakaye tupigania?
Na
Senior Cancellor Ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya Ubungo
Boniface Jacob.