Mgombea wa CCM Dimani jitoe, hiyo ni laana

No...No....ya Mako na Mwl.Nyerere ni tofauti kabisa na haya ya Dimani.Mwl.alishangaa watu wa ARK kumchagua Mako wala hakumkataza kugombea.Kuwa mkweli angalau kwa muda tu.
 
Siasa haina dini na haimjui shetani huyo shetani wako baki naye na huyo mzee

Shika adabu wewe! Hujui mzee wako alisema anataka tuishi kama mashetani? Kwa hiyo unataka kusema aliropoka hamjui shetani ni nani? Acha kumvunjia heshima mtukufu wewe, utajikuta unafukuzwa Lumumba makao makuu ya shetani ambako mzee amesema anataka wote tuishi kama shetani wa huko.
 
radhi ya wazazi sio kwaajili ya siasa ni ya kiubinadamu sio Baba cuf wewe ccm eti utapata radhi hilo halipo
 
Wewe siasa ya zanzibar huijui unakurupuka ....zanzibar ipo hivi kama baba yako akiwa cuf wewe ukenda ccm basi mnaweza nuniana na akakmbia hana radhi na wewe....lkn mwenyezi mungu hampi mja laana ya kipumbavu kwa mambo ya kibinadamu...et baba kashangilia simba mie yanga anipe radhi hainipati maisha.....siasa ni kama.mpira wa mguu...zanzibar siasa ya hapa ni chuki...kwa hyo huyo mgombea agombee tu huyo baba ake ana chuki za kisiasa kwa vile yeye cuf anataka mwanae awe cuf
 
Ubunge wake ulikuja tenguliwa na mahakama na hakirudi tena na hajapata uongozi mpaka aliporudi ccm kama una kumbukumbu
 
Nilipoona umemtaja Mwl nyerere nikawa na hamu ya kusoma ili kujua...MAKONGORO ALIPATA LAANA GANI ALIPOGOMBEA ARUSHA KUPITIA UPINZANI KINYUME NA MATAKWA YA BABA YAKE!!!!!!!
Lkn sishangai..ninyi kula matapishi yenu ni kawaida...ni sehemu ya maisha...Maana muda ule mlisema MAKONGORO ni mtu mzima. ..ana hiari ya kuchagua
Lk leo mmegeuka kuwa ni laana...simply amekuwa kinyume na baba yake
Niwaombe mjitahidi kupiga kampeni...TENA KWA KWENDA FIELD. .KULE KWA WANANCHI JIMBONI..SIYO MITANDAONI...HUKU WENGI NI WABONGO TU...HAKUNA KURA YOYOTE HUKU...Ili mkishindwa msiseme mliibiwa kura wakati kampein mlipiga mitandaoni
Ni sawa na babu yenu mwaka juzi..2015 wakati Magufuli anakwenda Vijijin yeye slikuwa anakalia mijini...anatembelea miji mara mbilimbili...Aliposhindwa akapanua domo kuwa kaibiwa kura....
TAZAMA NIMEWAAMBIA KIMBELE
KUWENI MAKINI
Unainda kinyume na hoja ndugu Kumbuka Nyerere aliridhia Makongoro kupitia NCCR na kwa kyonyesha kuwa alilidhia ni mwl Nyerere aliyetoa magari kwa ajili ya campaign ya makongoro. Pia kwa kuonyesha kuwa mwl nyerere aliridhia hakujitokeza kwenye campaign huku Arusha kumkana makongoro. Lakini huyo mzazi wa mgombea ubunge kupitia ccm huko Dimani kajitokeza wazi. Laana kubwa hizo..
.
 
Wewe siasa ya zanzibar huijui unakurupuka ....zanzibar ipo hivi kama baba yako akiwa cuf wewe ukenda ccm basi mnaweza nuniana na akakmbia hana radhi na wewe....lkn mwenyezi mungu hampi mja laana ya kipumbavu kwa mambo ya kibinadamu...et baba kashangilia simba mie yanga anipe radhi hainipati maisha.....siasa ni kama.mpira wa mguu...zanzibar siasa ya hapa ni chuki...kwa hyo huyo mgombea agombee tu huyo baba ake ana chuki za kisiasa kwa vile yeye cuf anataka mwanae awe cuf
Tatizo la siasa za ccm Zanzibar sio siasa za kistaarabu bali za kishetani. Kushambulia watu, kunya kwenye visima vya maji, kubaguana nk. Ndio maana mzazi kama mzazi kamkanya mwanae asiende kwenye ushetani.
 
HUKO NI KUTAPATAPA kwa UKAWA, CCM ni kushinda tu DIMANI

Nawajua CCM kwani bila goli la mkono hamtoki dimani, ila mnajiidai kwani mwizi namba moja wa wizi wa kura bara la africa bw. Jeeeee....chaaaaa mnae na atawapa mbinu za kushinda msimizi wa uchaguzi
 
Miaka (umri) zaidi ya 18 mtu ana haki ya kuamua sawa sawa na utashi wa moyo wake aachwe huru na huyo mzee akumbuke kuwa laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Hata Chid Benz ana miaka zaidi ya 18 lakini tunamkanya aache madawa ya kulevya. Umri ni kweli unaruhusu kuamua ulitakalo, lakini mzazi akiona huko uendako sio kuzuri anao wajibu wa kukukanya.
Mzee kaona mwanae anaenda kwenye dhambi hata kama akipata ubunge atamsaidia kujikimu. Bora mtoto aishi kwenye kweli kuliko kukutunza akiwa dhambini. Tunampongeza mzazi makini
 
Nilipoona umemtaja Mwl nyerere nikawa na hamu ya kusoma ili kujua...MAKONGORO ALIPATA LAANA GANI ALIPOGOMBEA ARUSHA KUPITIA UPINZANI KINYUME NA MATAKWA YA BABA YAKE!!!!!!!
Lkn sishangai..ninyi kula matapishi yenu ni kawaida...ni sehemu ya maisha...Maana muda ule mlisema MAKONGORO ni mtu mzima. ..ana hiari ya kuchagua
Lk leo mmegeuka kuwa ni laana...simply amekuwa kinyume na baba yake
Niwaombe mjitahidi kupiga kampeni...TENA KWA KWENDA FIELD. .KULE KWA WANANCHI JIMBONI..SIYO MITANDAONI...HUKU WENGI NI WABONGO TU...HAKUNA KURA YOYOTE HUKU...Ili mkishindwa msiseme mliibiwa kura wakati kampein mlipiga mitandaoni
Ni sawa na babu yenu mwaka juzi..2015 wakati Magufuli anakwenda Vijijin yeye slikuwa anakalia mijini...anatembelea miji mara mbilimbili...Aliposhindwa akapanua domo kuwa kaibiwa kura....
TAZAMA NIMEWAAMBIA KIMBELE
KUWENI MAKINI

Kwani mliposhindwa Urais Zbar mlisemaje eti?
 
Baba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.

Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.

Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia
Kwani baba yake ndiye mgombea?
 
Back
Top Bottom