Recent content by bi mkora

  1. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Kada uvccm afumaniwa live iringa

    KADA WA UVCCM IRINGA ALIVYOFUMANIWA AKISALITI NDOA YAKE Ni vigumu kuamini ila inapotokea huwa ni vigumu kuvumilia. "Je ndo chama au ni kichaka cha umalaya" na kauli ya mume wa kada huyu pichani baada ya kufumania ubavu wake ukisaliti ahadi ya ndoa. Ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni eneo...
  2. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Hii sio sawa jamani.tunaelekea wapi??

  3. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Arusha tutake radhi wakazi wa Arusha

    Jana jioni mkuu wa mkoa wa Arusha alifanya kipindi maalumu kaitka Radio Triple A arusha na kusisitiza kuwa wananchi tuwe na amani na kuwa leo hakutakua na mgomo wa daladala. Mkuu huyu wa mkoa wa Arusha hakutupa angalizo lolote kuhusiana na mgomo huu na akatuahidi kuwepo kwa usafiri na amani kwa...
  4. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo

    Tuko pamoja leo usijali:
  5. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

    Hali ni tete kijana endelea kujidanganya tu.
  6. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Revealed; DC WA IGUNGA Fatuma Joseph Kimario Sio Muislamu.

    Huyu mama kawaingiza chaka BAKWATA. Aibu hii yapo mengi yataibuka.
  7. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Sikujua kama umekalia tango.
  8. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Njoo hapa igunga kuna bar inaitwa tausi bar.
  9. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Dr Kawambwa awakejeli walimu Nchini

    Nawasahuri waalimu watoe jibu lao kwenye sicret ballot 2015.
  10. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Wewe wasema, punguza jazba then karibu tule kitimoto bwana Furaha.
  11. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Bwana Furaha c umeshakuwa mkristu sasa naomba utulize mshono watu wazima tuendelee na mjadala. FF ni panya kama wewe, koma kunifananisha naye.
  12. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Nafurahi kuona umeamua kubadili dini coz umechoshwa na uislam. jumapili tutakubatiza na utaitwa Furaha.
  13. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Mnakaribishwa:JAKAYA KUTINGA DICOTA KWA Kishindo 22 sept 2011

    Speak sense you creature.
  14. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Kabla hujaenda kumuuliza mwalimu wa madrasa, wewe binafsi unaichukua CDM simply kwa sababu ni muislam?
  15. bi mkora

    JamiiForums Tanzania Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Bora wangeivua, wameichana kabisa.
Back
Top Bottom