Mnakaribishwa:JAKAYA KUTINGA DICOTA KWA Kishindo 22 sept 2011

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669
dicota.jpg
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Bila shaka takwimu ina2onyesha ni safari ya mia tatu na tisini bila ya kuwa na aibu. Watanzania 2na mzigo mkubwa na bila kukosea ni hasara kwa taifa le2!
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,861
37,069
hivi maandamano yamefikia wapi, mnatukaribisha ili kutuchanganya siyo, wabongo wa marekani fanyeni kweli maandamano please.
 
Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
Speak sense you creature.
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,877
Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.
Mawazo mgando hayo, huyo jamaa anafilisi taifa letu ambalo ni maskini saana kwa udhurumati wa CCM na viongozi wake!!!!!!!!!!!
 
luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
kishongo shoga au nimekosea jina lako??? chaguo lamungu alikuwa yesu pekee yake! ameshindwa kufanya jambo hata moja la kutengeza legacy yake labda watu watamkumbuka kuwa ni mtu alisafiri sana kuliko maraisi wote duniani! na ni mtu ambaye ataacha matatizo mengi katika nchi yake tangu ardhi iumbewe miaka million 2 iliyopita!
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
7,107
11,826
Bi Mkora, do you know the meaning of sense?..... may be if I say 'Slaa hates infidelity and poaching of other people's spouses' ...that will make sense to you?
I think you are the one who does not know the real meaning of sense coz to you common sense is not that common. What has it got to do with Dr. Slaa???? acha hizo
 
kanyanga

Senior Member
Jul 15, 2011
110
68
Hii njaa na matatizo kibao yanayotukabili nani muhusika mkuu ? Hakika ni huyo Kilaza a.k.a Kichwa cha Nazi chenye hadhi fake ya DR.Kwa binadamu yeyote mwenye akili zilizosheheni Hekima na Busara hawezi kutenda kama Kilaza wetu Mkuu. nilitaraji JK angekuwa hapa akisimamia kwa karibu hizi dhahama za ukosefu wa Umeme na upuuzi mwingine uliosababishwa naye akishirikiana na wezi wenzie.VP yupo na hana jukumu lolote la maana zaidi ya kufungua seminar, warsha na kukata utepe wa ufunguzi wa zahanati, kwanini huyu Kilaza anashindwa kumtuma huko ili yeye apate kushughulikia haya yaliyowashinda wahuni wake a.k.a Ministers.Raia wamechoka kuanzia wazalishaji viwandani hadi akina Mama ntilie, hakuna umeme, maisha yamekuwa magumu, kwa kuwa hakuna kipato.Huyu Kilaza anastahili kuaibishwa huko na hao wazalendo wa kweli.
 
kanyanga

Senior Member
Jul 15, 2011
110
68
Tunautakia mkutano mafanikio mema. Mtafurahia, mtanufaika na busara za JK. Hakuna mwenye ubavu wa kufanya maandamano dhidi ya Chaguo la Mungu. Maandamano yanaishia kuwa mawazo ya kishenzi ya baadhi ya wapuuzi wa CDM walioko Bongo.

Mawazo ya binadamu aliyetafunwa ubongo utayajua, kwani kipimo chake cha kufikiri hakizidi urefu wa pua yake.Ilikuwa wapi na lini ulipata kuongea na MUNGU kwamba hili ndo chaguo lake.Ondoa ukurutu humu jamvini
 
kanyanga

Senior Member
Jul 15, 2011
110
68
rais aliyetia fora kwa kuwa na ulinzi mkubwa
hata ndani ya nchi yake plus ambulance!

Makofia, huo ulinzi kwa kodi zetu si suluhisho.Pigo takatifu la kuanguka kila mara na akiwa amezungukwa na hao walinzi ni dhahiri hakuna msaada wowote.I mean kilio cha wa TZ kuhusu maisha yao kuchakachuliwa ni moja ya sababu za Kilaza wetu kupiga mweleka iwe hadharani au mafichoni bedroom
 
kanyanga

Senior Member
Jul 15, 2011
110
68
kishongo shoga au nimekosea jina lako??? chaguo lamungu alikuwa yesu pekee yake! ameshindwa kufanya jambo hata moja la kutengeza legacy yake labda watu watamkumbuka kuwa ni mtu alisafiri sana kuliko maraisi wote duniani! na ni mtu ambaye ataacha matatizo mengi katika nchi yake tangu ardhi iumbewe miaka million 2 iliyopita!

Atakuwa Rais wa kwanza Tanzania kufungwa jela yeye na baadhi ya wanafamilia wake, achilia mbali akina Jairos and Others watakaomfuata coz kila dalili ya the begining of an end ziko wazi uhitaji kwenda kwa Sheik Y.Hussein Jr kujua.Kuanguka kwa East Europe zilikuwa ni njozi enzi hizo, leo ni kweli inayoelekea kusahaulika kwamba hapo zama za kale ilikuwa ni hadithi ya Alinacha.Gaddafi he is no longer in power, amejichimbia kwenye shimo kama Fuko, mwamba aliyekuwa anatisha hata ilikuwa taabu kupita karibu na Ikulu yake na kunyoosha kidole kumwelekeza ilipo Ikulu ya Libya.Hosni Mubarak anaishi kwenye banda lenye wavu na chuma kama Kuku alipopelekwa mahakamani, kesi yake inaendeshwa kwenye Police Academy mahali kulipokuwa na picha yake kubwa langoni mwa chuo hicho.Huyu kilaza ameshindwa kung'amua hayo kwa kudhani atakuwa Presidaa wa maisha yaani akitoka Ikulu anaingia kaburini.
 
Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,153
285
Mawazo ya binadamu aliyetafunwa ubongo utayajua, kwani kipimo chake cha kufikiri hakizidi urefu wa pua yake.Ilikuwa wapi na lini ulipata kuongea na MUNGU kwamba hili ndo chaguo lake.Ondoa ukurutu humu jamvini
<br />
<br />
jamani jukwaa hili huru mbona mnamshhambuli uyu kijana ivyo ametoa mawazo yake na inabidi yaeshimiwe acheni izo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom