Hii sio sawa jamani.tunaelekea wapi??

For some reason female homosexuality haiko perceived with anger kama male counterparts, but with pity fulani... ni observation yangu tu, maybe I am wrong...
On the other hand hao wanaume walio vaa vitenge inasemekana ni mchezo wa kuigiza.
 
Kulaaleki. Hata kuona marakwa mara inatufanya tuone kawaida. Ah kwish.
 
Back
Top Bottom