Recent content by BG baba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sithaminiwi....

    nashukuru mwl. Nitajtaid japo lalamko langu llkuwa wamentelekeza ugnn tuko likzo mwl na ni shule ya bwen sina nauli ktoka iringa had mwanza ada yenyewe mil.1 na lak2. Mbaya zaid mi mtoto wa kke hata kuwafkia huku nasaidiwa na mme wa mama1 ninayesali naye2 wazaz wangu najua hawajui swez hata...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sithaminiwi....

    nashukuru,tatizo ada ni million 1na laki mbili na wamenilipia laki 4tu. Na sasa tuko likizo hawanitumii hata nauli ya kurudi nyumbani na mm sina hata robo nasaidiwa. Nataman ningekuwa nyumban haya nisinge yajali niko ugenn na cna ndugu leo wik inaisha bado wk 3 chuo kfunguliwe tena....anyway
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sithaminiwi....

    Nashukuruni wadau kwa mawazo mazuri,Ninachoweza kusema sina makosa nao labda kama ninalo hawakuniambia, maana mm ni mdogo wao wakike wa mwisho na nilikuwa naishi na wazazi wetu walioko Mwanza ambao na wao kwa sasa hawana uwezo wazee sana, nilipomaliza o level dada aliniita nikakae kwake,sema ni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sithaminiwi....

    Ndugu yangu,yawezekana,lakini nina dvn 3 ya 25,na ilivyokuwa nilipata nafasi ya kwenda jesh na nyingine kwenda ualimu wakanikataza na wakadai niwaskilze je ni kwel m ninakosa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sithaminiwi....

    Niliposhindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano dada yangu (mwalimu) na kakangu (businessman kimataifa) walinitafutia chuo cha MIFUGO NA KILIMO Iringa,nilipata nafasi hiyo na wakanipeleka. Lakin tangu nifike huko mwezi wa kumi 2012,ndugu zangu hawanipigii hata simu mpaka kuna wakati...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nishaurini niweze kusahau

    Mkuu ww ndo unamaamz ya kumuwaza au la hebu jiulie mncheza mpira halafu uka bust refali akaleta mpira mwngne we ukaendelea kuutazama ze busted ball,kamwe hushindi,hvyo mlkuwa na love likabust u're now given another ball cheza bro utengeneze maisha yako.pole sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania MAJINA YA WASIOKAMILISHA APPLICATIONA TCU See the Attachment

    Aisee ubarkiwe sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Congratulations Real Madrid

    E-eeee...ngoja kwanza nilale.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nampenda Jokate, nitamfukuzia mpaka ni mkamate

    Almas malips mwamwaa utamuweza? Broo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

    Kufka kilele! Hebu funguka dem wako hujamfiksha nn leo maana hal hii..umebambwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kambania

    Uko sawa kabitha...chaukweli!?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uchoyo bwana, hebu usifungue hapa!

    Keep left...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

    Vyema, kjana hebu fikiria ukinunua cm ya mchina kwa lengo la mzik ukbal na gharama pia za kuchaj, lakn kama unania na mawasiliano na ubora wa cm utanunua hata Nokia 1200, maana yangu kama unamwona dda hyu anapenda vya juu na ukafanikiwa kumpata ataksumbua sana na ndo hatima yake unajuta, hebu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Eti wachaga kuna ukweli ktk hili kuhusu nyinyi?

    Bado natafakari...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kama haumo humu wewe si Fisadi!!

    14. Kama haujadanganya binti wa watu utamuoa wakati unamtongoza alpokupa ukasepa.
Back
Top Bottom