Nishaurini niweze kusahau

Wakuu nimewasoma, nimewaelewa! ila naomba niwashauri mtu anapokuwa na tatizo usimshauri kwa kumponda si vizuri.......
Afu tatzo la kupenda too much ndo hilo!!
But my problem is huyo mwanamke baada ya kuolewa imetokea kama bahati mbaya tunaishi naye mtaa mmoja hapa jijini
Kwani amekuletea drama gain?ad I suspected your a stalker na wewe ndio ulihamia hapo
 
Zema wewe itakuwa very ANTI SOCIAL!!!!!!!!!! Mtu wa kukaa home na kuwaza. Jitahidi kujiachia achia, na kuzuru viwanja, huko utakutana na watu wazuri na wakali zaidi ya huyo dada. Ila ukiendelea hivo USIJE KUMBARLOW mme wa huyo dada.
 
Mkuu ww ndo unamaamz ya kumuwaza au la hebu jiulie mncheza mpira halafu uka bust refali akaleta mpira mwngne we ukaendelea kuutazama ze busted ball,kamwe hushindi,hvyo mlkuwa na love likabust u're now given another ball cheza bro utengeneze maisha yako.pole sana
 


I was stranded in the dark
Trying to find an open door
So alone
Chains were wrapped around my heart
Didn't know what love was for
No more
Heard these voices in my head
Telling me, "You'll never escape
No, you can't get away"
When the spirit in me said
Your love could show me the way
My whole life changed on that day
Now I'm walking in the light
All aglowAll I see is sunshine in my eyes
Skies of blue, it's true
I'm free
Out from under shadows
The only thing that matters
Is that you've worked a miracle in me
I'm free
Now when clouds surround me
They have no place around me
All because your love has set me freeI'm free
From the time that I knew
That I could find love in you
My heart's been renewed
Now all my dreams are coming true
I'm free
I was frightened in the cold
Desperate when you found me in time
You saved me from the world
Got my life back in control
Chased away the madness in my mind
You saved me right in time
Now my future's looking up
Skies of blue, all because of you
Got the sunshine in my life
All aglow, baby, don't you know?
I'm freeOut from under shadows
The only thing that matters
Is that you've worked a miracle in me
I'm freeNow when clouds surround me
They have no place around me
All because your love has set me free
I'm free
From the time that I knew
That I could find love in you
My heart's been renewed
Now all my dreams are coming true
I'm free
I'm free
Out from under shadows
The only thing that matters
Is that you've worked a miracle in me
I'm free
Now when clouds surround me
They have no place around me
All because your love has set me free
I'm free
 
Last edited by a moderator:
heshima zenu wakuu,
Ni mwaka wa tatu sasa kuna jambo linanisumbua saaana sijui kwanini nashindwa kulisahau...
Nakumbuka nikiwa chuo kuna binti fulani nilikuwa nampendaa mno kupita maelezo! Nilimuaproach na akanikubali..akawa ndo first lover wangu.. hatukupita muda mrefu yapata miezi 4 hv akaanza visa akawa anatafuta sababu mwisho wa siku bila sababu yoyote tukaachana tena kwa ugomvi na akanikashfu na kunipa maneno ya dharau mengi mno ya kutosha!!!!!
iliniuma mno lakini baada ya muda kupita nilitamani saana kuongea naye tu kwa ajili ya kutatua ugomvi japo tumeachana tusijengeane uadui!akakataaa
haikupita miezi 8 nikasikia ana jamaa mwingine pale pale chuo ila amechana nae tena kwa staili ile bila sababu.........
mwaka jana akaolewa.....
tatizo langu ni kwamba huwa namkumbuka sana nakaa nawaza jinsi alivyonifanyia, manake sikutegea wala kufikiria atanifanyia vile wala kunisaliti, nilimuamini mno nikampa moyo wangu 100%.. niliumia mno kupita maelezo manake nilipenda mno...
rafiki zangu, washkaji wakawa wamepata story za kuongea manake wabongo ndo tulivyo...
naomba wanajamvi (MMU), mnisaidie niweze kumsahau na kusahau yote yaliyotokea hata nikikutana nae nichukulie kama sikuwahi kumfahamu b4.. manake huwa tunakutana mara kwa mara...

Pole! hiyo imekutokea kwa sababu tu alikua ndio "first lover wako" lakini kwa hayo aliokufanyia inaonyesha kwamba
wewe hukua wa kwanza kwake, kwahiyo huyo ni kiruka chura wala asingekufaa, Mungu amekuepushia balaa!
sasa jipange utafute kitu kingine safi na chenye tabia njema utasahau yote hayo, hata yeye akikuona atajifanya
anacheka2 wewe uchune tu kama sio wewe! kumbuka mwanaume wa kweli hateswi na mapenzi!
best wishes!
wa kwan
 
mkuu pole sana hata me yalinikuta kama hayo tatizo naloweza kukwambia haraka haraka jaribu kuwa na mahusiano na mpenzi mwingine .....tahadhari usiingie asilimia zote we kidume hawa dada zetu wakipenda ndo wamependa na wanpenda milele hata akiachika atakua anakukumbuka bt vidume hatunaga hizo so tafuta msupa mwingine ndugu yangu utamsahau huyo shemeji wa zamani
 
Kwanza nikupe pole..inakubidi ukubali matokeo,,ninachoamin hakuwa mwanamke wako wa maisha, yaani,,hukupangiwa kuwa nae maishani na km angeendelea kuwa na ww basi ungeteseka sn maishani,,mshkuru Muumba wako kakuepusha nae mapema,,kuwa na subra atatokea wako na utamfuta kbs huyo ex wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom