Mama mkwe kambania

Mama mkwe kambania

Kwani unawaolea wazazi.....! hebu peleka ujinga huko, kitu kama umependa mwenyewe wazazi hawana nafasi kwasababu badae ni wewe na yeye mnaenda kukaa pamojo."..... ila mwanangu unapenda sura chachu"
 
Dah lakini sura kama ngumi nampenda!. Uso kama ndimu nampenda tu!
 
Mkuu, umenihalibia siku na hiyo picha yako.
 
Kwani unawaolea wazazi.....! hebu peleka ujinga huko, kitu kama umependa mwenyewe wazazi hawana nafasi kwasababu badae ni wewe na yeye mnaenda kukaa pamojo."..... ila mwanangu unapenda sura chachu"

mbona unamponda baby wangu?
 
mwana hapo huibiwi hata atemabee uchi barabarani
 
Back
Top Bottom