Recent content by belladona

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tumalize leo kilio chetu kuhusu bayport kwa kutuma email

    Nashukuru kupata nafasi, namshukuru Mungu kwa kuwa ameniweka huru na hao watu! Kifupi sitaki hata kuwaongelea, poleni sana ambao bado mnateseka
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jipatie laptop kwa laki mbili tu

    Hiyo laptop ninayo, iko poa sana! Unaweza ukaibeba kama handbag MTU asijue
  3. B

    JamiiForums Tanzania UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

    Nijuavyo Mimi kutoka usaha sio uti tena na ndio maana dawa hazifanyi kazi! Ushauri wangu ukapime japo inajionesha dhahiri hiyo ni gonorrhea na matibabu yake yapo japo unavyozidi kuchelewa unaweza pata matatizo kwenye mfumo wa uzazi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Hivi huko mitaani kwenu hakuna single father?! Naona kashfa zote zinaenda kwa wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Clinical officers na Md njoo hapa mnisaidie kitu

    Sio kweli, ukimaliza co unaenda degree moja kwa moja! Tupo wengi tuliofanya hivyo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

    Mpeleke Hosp tatizo hilo linaweza kusababishwa na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango au Kansa ya kizazi?!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Baby care
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesho nitaonyesha sehemu zangu za siri

    J
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Kansa ya kizazi huwa inasababisha MTU kutokwa damu mara tu unapogusa mlango wa kizazi, japo kuna sababu nyingine zinaweza kusababisha ni vizuri mkaenda hosp kwa ajili ya ushauri na vipimo zaidi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wavuta sigara hatarini

    Jasho la sigara nalo,mnatuvutisha kwa lazima
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

    Huo ni mtego ndugu yangu,dili likikubali tunahitaji mrejesho
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kinadada acheni kumsumbua Mungu

    Kwani hao wanaume walio wazalisha wameenda kuwaoa wadada gani?usiwe mbinafsi yanaweza kumkuta hata nduguyo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, muimulike na NHIF

    Hilo la bima ni tatizo,ukienda hosp km una bima utazungushwa na dawa usipate ukienda duka la dawa wanasema dawa nyingine hazipo kwenye bima.swali langu ni kwamba kwa nn hela inakatwa bila kujadili hlf matibabu usumbufu?
Back
Top Bottom