Unajipaka mafuta gani mwilini?

kwa wale ambao wanadhani ukitengeneza mafuta ya nazi kisha ukaweka mdalasini, hiliki, karafuu au kimoja wapo, eti utanukia kama pilau laa hasha!

Ukiweka vitu hivyo vinasaidia kukata ile harufu ya Nazi, sio kila ukipishana na mtu ajue kua umepaka mafuta ya nazi, ndio maana tunaweka hivyo viungo na wala unakua hunukii viungo hivyo so kuweni na amani wapendwa,

Kuweka maua kama Yasmeen si mbaya ila kama una alegy ya maua au vitu vyenye harufu kali (kama mie hapa) sikushauri.
 
Mimi hua natia mrehani au mpachori au yasmini yanakua na haruf nzuri mno
 
Mrehani, wow nitaujaribu upo home....
Yasmeen sithubutu nitapiga chafya hapo mpk basi.
Mrehan chukua majani yake tu alaf yatie katika mafuta na uyaweke ktk moto mpk uone majani yote yamekauka ,alaf ipua wacha mafuta yapoe then ndo uchuje,mm ndo nifanyavo ivo yani harufu yake usisikie hata ukijipaka mwilin we mwenyew unajipenda kwa ile haruf
 
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Mkuu hizo karafuu,mdalasini na iliki unazichanganyaje kwenye mafuta
 
Mrehan chukua majani yake tu alaf yatie katika mafuta na uyaweke ktk moto mpk uone majani yote yamekauka ,alaf ipua wacha mafuta yapoe then ndo uchuje,mm ndo nifanyavo ivo yani harufu yake usisikie hata ukijipaka mwilin we mwenyew unajipenda kwa ile haruf
Arabian queen we mwarabu Wa wapi
 
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?

Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.

Wewe je?

NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
samahn mkuu wewe ni mweupe au mweusi
 
Back
Top Bottom