Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Wakuu samahani nahitaji kusoma clinical medicine mwaka huu..je hivi ukimaliza C.O nasikia hauruhisiwi kuunga degree mpaka usome A.M.O je kuna ukweli hapo?
Zipi kupitia A.M.O mbona naona safari ndefu kwa kuwa lengo langu mimi ni kuunga na degreeTumepite njia hizo
Ila si lazimq ufanye kazi miaka miwili kwanza na zaidi ndo uunge degreeSio kweli, ukimaliza co unaenda degree moja kwa moja! Tupo wengi tuliofanya hivyo
Sasa hiv kusoma degree kama ulisoma co lazima ufanye mitihan ya five na six ukifaulu utasoma degree kama umeunga cjui cert diploma degree huipat kama unacredict apply moja kwa moja mdWakuu samahani nahitaji kusoma clinical medicine mwaka huu..je hivi ukimaliza C.O nasikia hauruhisiwi kuunga degree mpaka usome A.M.O je kuna ukweli hapo?
Una uhakika na unacholngea mkuuSasa hiv kusoma degree kama ulisoma co lazima ufanye mitihan ya five na six ukifaulu utasoma degree kama umeunga cjui cert diploma degree huipat kama unacredict apply moja kwa moja md