Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,152
mtu akijiskia tu,anaandika.Taarifa kama hizi zilitakiwa zitolewe na bodi husika.Chanzo cha habari???? Isije kuwa ni kijiwe cha kahawa
mtu akijiskia tu,anaandika.Taarifa kama hizi zilitakiwa zitolewe na bodi husika.Chanzo cha habari???? Isije kuwa ni kijiwe cha kahawa
Hivi naomba niulize hizi habari ni kweli ama maana sielewi heb mwenye uhakika naomba anijibu..mbarikiwe!mtu akijiskia tu,anaandika.Taarifa kama hizi zilitakiwa zitolewe na bodi husika.
Duh 3 huendi degree[emoji24] [emoji24]
Mzee uwa anaongea maneno mengi sana mpaka anasahauMkuu uko very correct.... Sio watu wote wenye diploma wameajiriwa.... Kati ya 100%utakuta 30% ndo wameajiriwa.....Mimi nafikiri Rais Magufuli alitizame mara mbili ili swala haswa ukizingatia alituahidi kwamba kila mwenye sifa za kusoma atapewa mkopo[emoji22] [emoji22] [emoji22]