Tunakutumia kwa njia ya basi, karibu sana mkuu nichek 0623554361Kwa mwanza inakuaje mwana
Ni kweli mwanzon tuliuza kwa hiyo bei lakini sasa hivi gharama za bandarini si zimepandaJamani si, ilikuwa laki mbili imekuaje sasa
1 yearGuarantee ??
Kama utachukua kuanzia 5 tutaangalia namna ya kufanyaDiscount?
Ni kweli mwanzon tuliuza kwa hiyo bei lakini sasa hivi gharama za bandarini si zimepandaVyuma vimebana mkuu mia 2 ipo ubaoni hata sasa hv
Unaexpand kama kawaidaNikihitaji kuiongezea hard disk vp kuna uwezekano huo
Mkuu hailipi hata kidogo200k ipo
🙁🙁🙁🙁🙁🙁. Mpya bei hiyo kimbia watakuwa CIA wanataka kukufuatilia mkuuMkuu ni mpya au used???