RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,818
- 129,712
yeah.....u mgeni Yerusalemu?
yeah.....u mgeni Yerusalemu?
utanipa kazi kubwa sana. Mwalimu nimechoka akili. Ukipata nafasi rejea uzi mwanzo mwisho. Usipoelewa niambie ili niweze kutafakari "method" itakayokufaa maana utakuwa umeingia kwenye kundi la slow learners.yeah.....
Teh teh ngoja waje walee wadada wa jf wenye stress wa 30+ wakuchambeee.....
Jiwe limetupwa gizani ngoja tusikilizie kelele....mie nipo pembeni hapa
ja name nikae pemben nionejiwe+limerushwa+gizani=???
ha ha ha ha sawa teacher.utanipa kazi kubwa sana. Mwalimu nimechoka akili. Ukipata nafasi rejea uzi mwanzo mwisho. Usipoelewa niambie ili niweze kutafakari "method" itakayokufaa maana utakuwa umeingia kwenye kundi la slow learners.
Mbona kama hujamuelewa mtoa mada dadangu?Hivi hua nawatafakari wanaume na kauli zenu hata siwaelewi,wanawake wanajizalisha mwenyewe?ama wanachakazwa na wanawake wenzao?Mungu awasaidie nyinyi wanaume maana hamjui mlisemalo na msipokua makini mtaoana mwenyewe kwa mwenyewe mpaka mkome ikiwezeka mzalishane na watoto mjue unatuchosha na maneno yenu ya shombo umzalisha dada wa watu huko na kumtelekeza huko then mnakuja hapa kubwabwaja kua kachakazwa,kachoka acheni dharau.
A hujui madhumuni la wakovu! Ni kuwatoa wote waluopotea ktk ufalme wa shetani na kurudi ktk ufalme wa mungu..huku kuna ahadi njema za ufalme...ndoa njema, familia njema..mafanikio nk. Sasa baada ya kuzurula ktk ufalme wa shetani na kukosa huko..kama mwana mpitevu..inatubidi turudi kwa baba atupe vema.hivyo usilaumu wanaorudi ni kweli wamechoka na huenda hawavutii ila huku yuko mungu mfinyanzi wetu atafinyanga tu kama apendavyo ili tufanane na wana wa ufalme. Kina dada msife moyo nyie rudini tu kwa mungu na waume bora mtawapata kama kweli mtanyenyekea kwa mungu!jiwe+limerushwa+gizani=???
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaona mmeonewa sana, kama ulichakazwa kwa bahati mbaya Mungu hawezi kukuacha ila kama ulikuwa husikii na umejaa kiburi hata uombe hadi unye huolewi ng'oo soma mada vizuri uielewe.Hao wadada wanajizilisha bila mbegu za kiume? Lait Mungu angekua anawapa mimba na ninyi. Nina uhakika mngechakaa kuliko hao wadada. Na ashukuriwe Mungu cz hawaz kama uwazavyo. Hao hao unao waita scrper Mungu anawaangalia cz wamemrudia Mungu na Mungu atawarudishia miaka yao yote iliyo liwa na nzige. Wadada mlio okoka msiache kuomba. Omba saana cz Mungu si binadamu alimleta Yesu kristo kwa ajili ya wagonjwa na sio wazima. Na kwaajil ya wenye dhambi na sio wasafi. Bwana Yesu asifiwe.
Sisemi kama watu tutende dhambi makusudi kwa sababu tu Mungu anasamehe. Lakini je mtu akikosea na akafika uzeeni akaamua kutubu, Mungu hatomsamehe kwa sababu ni mzee tayari? Afu huo uzee mnaouongelea nyie ndo huo wa miaka 30+ au?
Haya what If nikajitunza ujanani afu uzeeni nikaharibu, ntasamehewa tu kwa sababu niliutumia ujana vizuri, au nikikosea uzeeni basi siruhusiwi kuomba msamaha nife tu na dhambi zangu? Cha msingi ni kuishi sawa na mapenzi ya Mungu, na binadamu tuna udhaifu so kuna muda tunaanguka but cha muhimu zaidi ni kunyanyuka baada ya kuanguka. Nikukumbushe tu " tunaishi kwa neema tu".
Sawa mkuuKwahiyo mmekubali kuwa mnachofanya nimakosa ndo inabidi mbadilike