Recent content by Bejajunior

  1. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    Tanesco wametoa maaelezo pungufu na kuwaacha watanzania hewani maana Hakuna anayejua haya maboresho yana athari gani au faida gani kwa mlaji. Tutulie dawa ituingie..
  2. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Unapataje hesabu ya kumlipa fundi tiles?

    Chukua jumla ya Sqm za nyumba yako halafu zidisha kwa 5000 au 6000..
  3. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Stiegler Gorge kuonyesha nani Mmiliki wa Tanzania!

    Wengi watakuwa hawajakuekewa.. Nchi inapo-sign mikataba ya kulinda vivutio vya asili (UNESCO) inamaanisha sisi kama nchi hatuna maamuzi na vivutio hivyo maana vinalindwa na mamlaka za kimataifa kwamba chochote tutakachotaka kufanya lazima wao wajue na tuwashirikishe katika maamuzi na si kusema...
  4. Bejajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwa kutumia bobby app una download vipi.. Nimeiona iko poa sana
  5. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua kutoka gheto la 30,000/= hadi 100,000/=

    Umesema vyema sana. Kijana aache uoga wa maisha.
  6. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Voda huu mchezo wenu acheni tafadhali

    Hata voda bado waongo Hans Meyer alifika kilele cha Kilimanjaro mwaka 1889. Sio 1989..
  7. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania VAT ya Utalii ni vita ya madalali dhidi ya wazalendo

    Tulioko kwenye sekta ya utalii ndio tunalijua hili vyema. Umesema vyema sana na pia iwe funzo kwa wengine kutoa uchambuzi potofu. Wengi sana watakosa kazi hivi karibuni. Makampuni mengi wana deal na middle class tourists na sio matajiri ambao serikali yetu imewalenga. Tusubiria kuona uhafifu wa...
  8. Bejajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    Mkishikwa na magonjwa ya moyo mnakuja kuomba ushauri pia. Acha matatizo ya kujitakia.
  9. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kupokewa vizuuri

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  10. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Athari za kiafya za vyakula vyenye wanga

    Vyema sana.. ulichotaja ni kama mlo mtukuka kwa Tanzania yetu.
  11. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

    Tukisikia mwendo kasi tunatakiwa tuelewe hasa nini maana yake.
  12. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa vijana wanaokwenda kuanza maisha ya kujitegemea kwa mwaka huu 2016

    Ujumbe murua sana huu... Ahsante kwa uzi huu
  13. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Nitawapata vipi?

    Huna jib lingine utalopata zaid ya hayo hapo juu na kwa ufupi tu mtu hafundishwi kutongoza everyone with his own taticks.. pick up your lines
  14. Bejajunior

    JamiiForums Tanzania Nitawapata vipi?

    Just be yourself. Pesa ni kiungo tu.
  15. Bejajunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung galaxy tab 10.1

    Okay ahsante sana.
Back
Top Bottom