Samsung galaxy tab 10.1


Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Likes
7
Points
35
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 7 35
Samsung galaxy tab stuck on a Samsung logo after trying to enable voice calling,
I used the Odin3 trying to recover it but doesn't work.

Any help...

Thanks
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,353
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,353 280
1. huwezi kuiflash na odin mpaka utumie official firmware.

2.jaribu kuingia recovery mode volume up +power + home button kama hio home button ipo kama hamna volume up na power itatosha kukuingiza recovery.

wipe kila kitu halafu reboot

3. kama still inashindikana itabidi turudi tena odin kwa kueka firmware sahihi
 
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Likes
7
Points
35
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 7 35
Nimefanya hivyo ikiwa no pamoja na ku- reset kwenye factory setting lakin ina reboot na Ku-stuck kwenye logo..

Labda nirudie Odin3
 
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Likes
7
Points
35
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 7 35
Inafika kwenye clockworkmod recovery Ila inahitakija ku-install zip from SD card ambapo hill file zip ndio liko missing
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,353
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,353 280
Inafika kwenye clockworkmod recovery Ila inahitakija ku-install zip from SD card ambapo hill file zip ndio liko missing
huwezi kuinstall zip from sd card mpaka
1. simu uwe umeiroot maana samsung wameilock itakwambia certificate error. ukisharoot uwe umeeka custom clockworkmode

2. uwe hilo file umeshaliweka before hiyo tab haijazingua.

tuje kwenye odin sasa hapa firmware hakikisha ni hio uliyonayo au iwe version ya mbele pia hakikisha ni ya tablet yako maana fragmentation ya android si kitu cha mchezo.

kwa kuanzia nitajie full name ya tablet hii ni galaxy 10.1 tab ipi? maana kuna galaxy tab 2 10.1 na galaxy tab 3 10.1 na nyengine nyingi
 
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Likes
7
Points
35
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 7 35
Samsung galaxy tab 10.1
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,353
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,353 280
hii inakuja na honeycomb by any chance uliwah kuipeleka jelly bean?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,353
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,353 280
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Likes
7
Points
35
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 7 35
Nimejarib njia hiyo na nyingine za karibu lakini imegoma kwa sababu kuna missing file name ili ireboot no lazima the missing file I we installed and can't find the missing file and the SD card not detected hats kwa computer.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,353
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,353 280
Nimejarib njia hiyo na nyingine za karibu lakini imegoma kwa sababu kuna missing file name ili ireboot no lazima the missing file I we installed and can't find the missing file and the SD card not detected hats kwa computer.
kama vp wapelekee tu samsung sasa
 

Forum statistics

Threads 1,251,598
Members 481,811
Posts 29,777,513