Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

sipati picha hapo foleni yake mana ya nyuma panakuwa hakuna pa kupita
 
Kwa aina ya hiyo body - synthetic material, ukarabati wake, sijui kwa bongo yetu! Ndio tayari kilema cha basi hapo! Na hata wakisema huyo dereva au mwenye gari alipe, ni shughuli pevu labda insurance company, na hapo pia bado parefu kwa vikampuni vyetu vya Bongo!
 
Watanzania ni wagumu sana kuelewa na kubadilika, sijui tukoje


Kiburi kingi sana na ujuaji Mkuu, mimi nadhani itumike ile sheria ya gari moshi, kwamba chochote kitakachogongana na hayo mabasi ichukuliwe kuwa basi limegongwa na si basi limegonga ili washike adabu, wabongo walivyo unaweza kusikia kuwa wanaofanya haya wametumwa ili kuuhujumu mradi polepole
 
Asilimia 95 ya madereva wa Dar wana matatizo kwenye kufuata sheria.. Wanakata kona sehemu ambayo hairuhusiwi japo vibao vipo vya kuonyesha, kwenye foleni wao wanatanua na kuongeza foleni nyingine, kwenye zebra crossing (ambayo ndo sehemu pekee kwa mtembea wa miguu anapojidai) hawasimami na wakiona mwenda kwa miguu anataka kuvuka wao wanapiga honi, wanapaki katikati ya reli huku wakijua ni kosa na hatari vile vile, na mengi mengineyo..

Hili la ajali hapo sio kwamba huyo dereva hajui, ni muendelezo ule ule wa kutofuata sheria.. Kubadilika hapa ni mpaka pale vyombo vya usalama vitakapoamua kufanya kazi kwa kufuata sheria na sio kwa mazoea na kufanya kazi kwa zimamoto..
 
Mkuu dereva bora ni yule anayefuata sheria za barabarani, na sio mwenye uwezo wa kwenda masafa marefu, kwani hawa wa malori na mabasi ndio wanywa viroba na mirungi, na kuvunja sheria kwao ni jambo la kawaida sana. Kuongoza taifa la watu mbumbu ni shida sana.
kwa hiyo hapo mnafata sheria umbali wa 10km kil siku mnagongwa sheria zipi mnafata hakuna madereva bwana hapo mmepewa Elimu miezi sita still mnagonga kila siku harafu unakuja kutetea ujinga hapa..
 
Mkuu dereva bora ni yule anayefuata sheria za barabarani, na sio mwenye uwezo wa kwenda masafa marefu, kwani hawa wa malori na mabasi ndio wanywa viroba na mirungi, na kuvunja sheria kwao ni jambo la kawaida sana. Kuongoza taifa la watu mbumbu ni shida sana.
Mkuu lane zenyewe za bara bara zipo mbili tuu shida harafu unajifanya kuna madereva hapo je ingekya lane tano au saba ingekuaje...
 
Halafu mnaotukana nashindwa kuwaelewa, kwa nn msichulie kama ni sehemu ya changamoto tuu. Pia tusipende kujumlisha mambo.

Imefikia wakati watanzania tuanze kutumia maneno hay a

Mimi badala ya sisi

Mtu badala ya watu.

Hii inatendeza sana, kuliko kujumlisha watu ambao hawahusiki na mambo mengine.
 
Sibo nakukatisha Dereva unatakiwa uzijue Sheri za usalama barabarani na uzielewe sasa kama madereva wengi wanaendesha magari Kwa mazoea sasa acha wagongwe na faini wapigwe ili akili ziwe sawa
 
Kama hayo mabasi yangekuwa treni nadhani mngekuwa na adabu na barabara
 
Vifo vingine ni vyakujitakia kabisa.

Na kuna VIFO vingine ukifa kizembe kizembe hata ukienda Mbinguni Mwenyezi Mungu nae kwa hasira anakutupia tu katika dustbin au damponi kwani unampotezea muda wake wa kuwaumba wengine wenye akili nyingi na zilizotukuka.
 
Tunazidi kutia aibu kabisa, nakumbuka ule msemo kusoma huwezi hata kuangalia picha. Yaani hata kuona kuwa haya magari yaendayo haraka yameanza kazi hivyo kuwa makini, bado ujinga ujinga unaendelea barabarani. Daaah.
 
Back
Top Bottom