Recent content by BEFORE

  1. BEFORE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Utakapo oa .
  2. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Wakaazi 83,000 walioathirika na mafuriko Rufiji wahamishiwe Msomera kuwaepusha na vifo miaka ijayo

    Walipwe, wajengewe Kama wale wamasai.
  3. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni kugumu hususani kwenye kupata kibarua aisee

    Hata ivyo viwandani vichache mshahara 5000/= .
  4. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    Kazi gani uliyo enda kuliifanya huko. Umesema tu "kazi flani"
  5. BEFORE

    JamiiForums Tanzania We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    O Over. Ushamaliza Kaka.
  6. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

    Education is about solving problems sio kumeza madesa utusue mtihani.
  7. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Yeah lakini hela aliyo pewa Nina uhakika hatoila kwa amani.
  8. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Mtu amekupotezea bilioni 7. Alafu anasema samahani, alafu iwe imeisha tu kienyeji. Ngoja na mm niende huko insta akaoge mitusi
  9. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Kuna hii kasumba nyingine ukilipoti tukio polisi na ikitakiwa wakamkamate mtuhumiwa watakudai uwape hela ya mafuta.
  10. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Kwaiyo ww peke yako una intelijensia zote za goli sisi hatuna.
  11. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    Naimba unitumie hicho kitabu
  12. BEFORE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii hali huwa inanisumbua sana

    Mkuu umeoa.
  13. BEFORE

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Wewe ni mfanya biashara ? Au unataka kuanza bia$hara ?. Kama wewe tayali ni mfanya biashara kwanini usiiwekeze kwenye iyo biashara ambayo tayari una uzoefu nayo. Na kama sio mfanya biashara kwanini unataka kuingiza mtaji wako wote kwa mkupuo kwenye biashara ambayo huna uzoefu nayo?. Haujawaza...
Back
Top Bottom