The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,878
- 17,830
Napata shauku kujua hivyo vikao mnavyofanyaga kiumeni ndiyo mnakoleza hoja kwenye haya mambo mhasibu?Imagine huyu ni mwanaume. Halafu kuna watu humu wanamwita Mkuu
Napata shauku kujua hivyo vikao mnavyofanyaga kiumeni ndiyo mnakoleza hoja kwenye haya mambo mhasibu?Imagine huyu ni mwanaume. Halafu kuna watu humu wanamwita Mkuu
Una umri gani mkuu?Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge Cha wanawake wamekaa wengiii,, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.
yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa,
Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye umewahi kumtongoza akakataa ujue kimeumana.
hapo inabidi ujilipue kweli kupita bila hivyo kazi ipo, mi mara nyingi sana hua nabadili njia chap naenda kutokea upande wa pili.
Nimewahi kujikwaa kisa mambo hayohayo
.
Nikikua? Na miaka hii47 nikue tena
Acha kudanganya umri, hakuna mtu mzima anaweza kuhofia eti vibinti vimekaa vinaongea.Nikikua? Na miaka hii47 nikue tena
Hiyo Haina shida hata wanaume mbona tunaangaliana sana ndio maisha yetu isikusumbueTatizo lipo kwenye kukuangalia kwa muda mrefu
Afuate mapigo ya jamaa anayefanya prank za sinza
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Afuate mapigo ya jamaa anayefanya prank za sinza
Watoto wa town..Afuate mapigo ya jamaa anayefanya prank za sinza
Jamaa anaulizia kama anaweza kupata huduma ya jelo 😀[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Anatakiwa siku moja avae ujasiri, awaambie anataka awapige mtungo 😀, hapo lazima atapewa shoo.Watoto wa town..
Ndo nyie hapo.😂😂😂🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣 hapa nilipo kuna mbaba kapita kwa uwoga badala ya kusema hamjambo? Kasema mambo huku anajichekesha hafu tumekaza tunatamtazama usoni.!! Ikabidi ajiongeze “Hamjambo mabinti zangu?” Ndio tumemjibu huku tunaangua vicheko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa unikute nimekaa na mdogo wangu Lamomy na genge lake ndio utajua hujui
🤣🤣🤣🤣Asije akawa ndio mleta mada jamani🤣🤣🤣🤣 hapa nilipo kuna mbaba kapita kwa uwoga badala ya kusema hamjambo? Kasema mambo huku anajichekesha hafu tumekaza tunatamtazama usoni.!! Ikabidi ajiongeze “Hamjambo mabinti zangu?” Ndio tumemjibu huku tunaangua vicheko
🤣🤣🤣🤣 itakuwa🤣🤣🤣🤣Asije akawa ndio mleta mada jamani
Nyumba za hivyo ndio Huwa napenda kupanga kamwe huwezi kulala doro ni show show tu.Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge Cha wanawake wamekaa wengiii,, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.