We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

Sie wapemba twaenda kwanza kavukavu, saa nne saa tano twarudi na Mchele, Samaki, Mafuta na viungo tele kisha ntaacha isiyozidi Alfu tano ya dharula.
 
Tuambie kama ni kwa siku/mwezi?

Weka mambo hadharani.

Ukweli utakuweka huru

Hivi wamama na wao wanaacha ya mezani au tuwaache kwanza?
Wenzako hatujaoa ma house keeper, hatuachi chochote. Tunapigiwa kama kuna emergency tu. Nyie pambaneni na hali yenu
 
nimeipenda hiyo mini super market
iyo style ya kutunza kilakitu nimeikuta kwa wafanyabiashara flani hivi.
mmoja ni Muha kampasia rafiki yake mchaga sahivi wanatembea kwenye iyo reli.
wasaka noti wa ukweli wanabajet kali sana,tofauti na wakimbiza mwenge wakipata 100k kesho anaamka hana kitu.
 
Back
Top Bottom