Recent content by BCR

  1. BCR

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Geofrey Humphrey Kowero
  2. BCR

    JamiiForums Tanzania Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Hakuna haja ya kumtetea, mwacheni mwenyewe akubali au akanushe, kimya kina maana yake pia
  3. BCR

    JamiiForums Tanzania Ee Mwenyezi Mungu naomba uniponye ikishindikana kupata dawa hapa jf

    Pole ndugu, KIRI ZAB53:5b, pia nenda hospitali kubwa usiende dispensary, wataalamu wanakuja
  4. BCR

    JamiiForums Tanzania Balaa: Mke wa Mtu Afumwa Akijiuza Usiku na Mtoto Mkononi

    i support what u'v said. GOD help her and her beby please, let her forget by giving smooth way of handling her life. In JESUS CHRIST NAME, i'v pryd Amen.
  5. BCR

    JamiiForums Tanzania Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    Watu hawaoani kwa sababu ya uzuri wa muonekano. Umempenda kwa umbile au kutoka moyoni? Kama umempenda kutoka moyoni hilo suala lisingekusumbua kiasi hicho cha kutaka kumuacha. Muombe MUNGU WA MBINGUNI atakusaidieni mfikie malengo yenu na kuwa na ndoa yenye amani na upendo. Unaweza kutafuta...
  6. BCR

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    ukitazama maana ya kina ya maandishi hayo, ni ufumbuzi wa shortcut juu ya changamoto alizoziainisha. Na always shortcut can cut you. Ufumbuzi wa kujitenga ni mbegu ya matatizo aliyoonya hayati mwalimu. Wakishajitenga kabla hawajaenjoy kujitenga kwao ataibu mtu mwingine na kudai unguja iwe...
  7. BCR

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Always inteligency information contradict with media. So the issue of Kova and JWTZ dont rely with media. They'v 1plan, they know each other
  8. BCR

    JamiiForums Tanzania Kikwete awapa polisi fundisho

    Si kila msiba mhe. Rais atahudhuria, ni kulingana na majukumu na ratiba, ratiba nyingne hazimruhusu kutuma mwakilishi inabidi awepo,inabidi atume mwakilishi mwakilishi kwenye misiba , mazingira kama hayo yakitokea.
  9. BCR

    JamiiForums Tanzania Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua YESU KRISTO ni tegemeo la pekee
  10. BCR

    JamiiForums Tanzania Inashitua: Watanzania wengi hawasikitishwi na Kifo cha RPC Mwanza!

    tafuta nyuzi zinazojenga au kuleta suluhisho na si zenye kuamsha na kuongeza mipasuko.
  11. BCR

    JamiiForums Tanzania Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    acha kuendekeza udini na chuki mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii mkuu.
  12. BCR

    JamiiForums Tanzania Prove your ability here

    My twin from another mother. Others say 'namemate'
  13. BCR

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje?

    Jeshini uwa wanatangaza nafasi za kazi za kuitaji wataalamu(wasomi), nielewavyo mimi, umri hauwi kigezo. Usisite kupita eneo husika kwa maelezo ya kina
  14. BCR

    JamiiForums Tanzania msaada wa kidaktari manajf

    Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
  15. BCR

    JamiiForums Tanzania Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua maisha bila YESU hayana thamani
Back
Top Bottom