msaada wa kidaktari manajf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kidaktari manajf

Discussion in 'JF Doctor' started by maege, Oct 9, 2012.

 1. maege

  maege JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Samahani wapendwa kuna rafiki yangu ameona siku zake leo ni siku ya kumi na moja na haoni dalili za kustop na anasema alivyokuwa anaanza alitoa damu nyingi sana akichanganika na mabonge. Naomba ushauri afanye nini au matibabu yake ni nini? Asanteni
   
 2. BCR

  BCR Senior Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
   
 3. maege

  maege JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante kwa ushauri
   
 4. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Maege, Pole..

  1. Unaposema damu inatoka nyingi(the word "nyingi is very subjective).

  Ni vizuri kujua kama yake ya hedhi/mwezini ni siku ngapi lakini muhimu zaidi ni kufika hospitali kjua tatizo, inawezekana kuna dawa alitumia, nk.
   
 5. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  pole awai hospital but wakistop damu wakwambie chamzo, lakin kama alikueleza vizuri kama alivuka siku zake zikpitiliza kama wiki au zaidi huyo alipata ujauzito akajaribu kuutoa ndo maana hataki kwenda hospital au alipata miscarriage kabla hata hajagundua ana mimba...... kama si hivyo basi akapime uenda
  1.anatatizo kwenye mfumo wa damu
  2. ana maambukizi
  3. ana uvimbe
  4. ana kansa ya shingo ya kizazi au nyingine kwenye kizazi

  kwenda hospitali ni muhimu maaana akisubiri atapata maambukizi kwenye kizazi maana damu ya hedhi huwa haijaganda na kama imeganda itakuwa inabaki kiasi ndani na kusababisha mazingira mazuri kwa bacteria kukua na kusababisha matatizo makubwa
   
 6. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  otherwise ni pm
   
Loading...