Recent content by bbc

 1. bbc

  Ninauza mashine za kufua nguo

  Nilidhani ni aina ya LG!!
 2. bbc

  Boni Mwaitege amefungua kanisa lake

  Ikiwa inalipa kama biashara nyingine kwanini asifungue!!
 3. bbc

  Wa mwisho ndio mshindi

  Makabila yote ya Tanzania yana tamaduni zao
 4. bbc

  Jinsi ya kuepuka kuibiwa gari au vitu ndani ya gari lako

  Nadhani hiyo ni teknolojia mpya!!!!
 5. bbc

  Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

  Hivi tusemapo “deraya” tuna maana gani?
 6. bbc

  Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

  Kama nilisoma sawasawa uzi ule, alisema kuna BAADHI ya majaji na mawakili.... kitu ambacho ni kweli.
 7. bbc

  Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

  Ndugu na jamaa wakati mwingine wanakuheshimu kwa sababu ya nafasi yako kimaisha, ndivyo Dunia ilivyo!!
 8. bbc

  Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

  Kwenye lugha kuna ukakasi, watawala wetu wa mwisho walikuwa Waingereza sasa Kiswahili kilitokea wapi!!!
 9. bbc

  Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

  Nijuavyo mimi, mshahara ni mshahara ambao “una-account” kwenye mafao wakati wa kustaafu tofauti na maslahi mengine!!
 10. bbc

  Je, hii pesa niifanyie nini?

  Sijui biashara gani NDOGO inalipa namna hiyo!
 11. bbc

  Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

  Kurahisisha kazi ungeenda na mtaalam Mshana!
 12. bbc

  Madhara ya kutofanya tendo la ndoa muda mrefu

  Kumbe mwisho wa siku waweza kufa kwa kutokufanya “tendo la ndoa” muda mrefu, ni ugonjwa!!!
 13. bbc

  Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

  Naongezea, mtu anayetaka kununua asali atajuaje haijaongezwa kitu chochote?
 14. bbc

  Hakuna kitu kinaitwa "plate number" Dunia hii

  Kiswahili chenyewe kilitoka wapi, watawala wetu walikuwa Waarab, Wajeruman, Waingereza, nk wote walikuwa hawajui Kiswahili!! Ni lugha ya kuungaunga hivi!
Top Bottom