Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

Vw golf inasumbua sana kuwaka mpk uangaike nayo shida itakua nn wakuu hasa ukiizima usiku na kutaka kuiwasha asubuh
 
Engine nzuri cc2000. Gari ikishazidi miaka 10 ni wazi kuna vitu vinaanza kuchoka inabidi ubadilishe. Shida kubwa gari hizi vitu ni bei kubwa kidogo ila spare zipo na mafundi wapo
Nyongeza, engine ya cc 1600 na 1400 zina changamoto gani?

Maana zinaonesha kwa mafuta ziko poa sana
 
Kwenye selfies mmeweka picha zenu
Ila kwenye magari naona mnaandika tu
Sasa simpige hata matajiri tu kama waliopiga miguu yao?


Sent from my iPhone using Tapatalk
Wana kera kwelikweli.

Kuanzia sasa muweke picha sio kila mtu anajua kutofautisha namba za magari
 
Back
Top Bottom