Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima, nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliyefanywa msukule. Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajali ya gari, baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliyeajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mara nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko kwa kuwa kabla ya umauti kumfika alikuwa akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote niliokaa huku nimejionea na kujifunza mengi. Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanakopatikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
Nachotaka kujua mimi, hizi habari za uchawi na mikasa tunayosimuliwa ni kweli hutokea kijijini hapo ?
 
Unaweza kuwa toto la baba mkemia ila usiweze kutaja hata characteristics moja ya BUTANE.

Ama ukawa kila siku unazunguka na gari la kuuza pamba kwenda Kasoli na usijue hata indicator ya gari inawashiwa wapi.ivo kuwa ngulyati siyo sababu ya kujua habari za Gamboshi
 
Kurahisisha kazi ungeenda na mtaalam Mshana!
 
Nilikuwa nasafiri kuelekea tarime kabla ya kufika maswa niliona kibao kinachotahadharisha kimeandikwa jiwe la hatari mbele . nikapunguza mwendo nikidhani jiwe lipo barabarani lkn sikuliona nilipita maeneo hayo saa 5 usiku wkt wa kurudi hatukukiona hicho kibao nikafika dar nikasafiri tena njia hiyohiyo hatukuona kile kibao hii inakuwaje?
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima, nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliyefanywa msukule. Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajali ya gari, baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliyeajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mara nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko kwa kuwa kabla ya umauti kumfika alikuwa akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote niliokaa huku nimejionea na kujifunza mengi. Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanakopatikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
 
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima, nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliyefanywa msukule. Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajali ya gari, baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliyeajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mara nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko kwa kuwa kabla ya umauti kumfika alikuwa akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote niliokaa huku nimejionea na kujifunza mengi. Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanakopatikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
Aisee
 
Back
Top Bottom