Recent content by baraka3

  1. baraka3

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Mkuu pole sana kwa tatizo hilo. Labda niandike kilichonisaidia mimi. Kwanza kabisa nilipatwa na dalili kama zakwako nilipokuwa chuo Saut mwaka 2014 na niliteseka sana. Dalili zangu zilikuwa kali mno hadi maumivu yalisambaa hadi kwenye bega na mkono wa kushoto.Mara nyingine yalishuka hadi...
  2. baraka3

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu afya: Maumivu ya kifua yananisumbua (2)

    Mkuu pole sana kwa tatizo hilo. Labda niandike kilichonisaidia mimi. Kwanza kabisa nilipatwa na dalili kama zakwako nilipokuwa chuo Saut mwaka 2014 na niliteseka sana. Dalili zangu zilikuwa kali mno hadi maumivu yalisambaa hadi kwenye bega na mkono wa kushoto.Mara nyingine yalishuka hadi...
  3. baraka3

    JamiiForums Tanzania Mauta yenye harufu kali yanatoka kinywani mwangu, tatizo nini?

    Utakuwa una tonsil stones ambazo ni mojawapo ya causes ya halitosis. Nenda kwa dentist watayatoa huko mdomoni. It's painless kabisa
  4. baraka3

    JamiiForums Tanzania Macho kuona kama ukungu

    Pole sana mkuu.... Mm ilishawah nikuta tangu form 2 ilikuja kuisha yenyewe nilipohitimu form 6....kichwa chake sijawah ona maisha..... Nakushauri nenda hospital japo mm sikwendaga Sent using Jamii Forums mobile app
  5. baraka3

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

    Hapo kweny mafuta ya alizet nakataa..... Hebu tupe proof.... Coz mm nachojua mafuta ya alizet ndo mafuta ambayo atleat hayapo saturated kama kina korie na jamii yake..
  6. baraka3

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya Bandarini/TRA, watu washindwa kukomboa mizigo yao!

    Ni nyingi mno.....jaribu ku culculate gari yoyote ya mjerumani......
  7. baraka3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    [emoji2] [emoji23] [emoji14] [emoji13] [emoji12] [emoji3]
  8. baraka3

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na jasho usiku, miguu inawaka moto

    Mkuu cyo kila tatizo la never lipo associated na diabetes
  9. baraka3

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Jaribu sensodyne, unaswaki nayo kwa dk 5 hivi, menu ya juu na chini plus ulimi hadi nyuma... Then safisha mdomo vzuri alafu malizia kwa chumvi(unaweka chumvi kwenye mswaki una sukutua tena kwa dk 5) after 2 days utaona good results
  10. baraka3

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Pole sana mkuu... Mm nilikuwa na hlo tatizo since 2014.....nilihangaika sana.... Nilipima kila kitu bila Kugundua tatizo.... Mwishowe nika give up..... Kina kipindi yalikuwa yanafululiza kuanzia ninapoamka kitandan hadi ninavyorudi kulala usiku..... Nilihudhuria maombi just twice nimepona...
  11. baraka3

    JamiiForums Tanzania Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

    Stess na njaa ni kitu mbaya sana...... Kalime bustani ya mboga mboga upate angalao ela ya kununua kashata ule ulale
  12. baraka3

    JamiiForums Tanzania Mmasai, Mmeru, Mpare, na Mkwere? eeh!!!

    ..
  13. baraka3

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Joseverest
  14. baraka3

    JamiiForums Tanzania KAGERA: Watatu jela maisha kwa kuchoma kanisa la EAGT

    Rangi ya maandishi cyo rafiki kwa msomaji.....
  15. baraka3

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli watanzania hawana shukurani hata uwafanyie nini kizuri wao watakulaumu tu...mwendo huo huo tu!!

    Watu vigeu geu kama nyie ndo mnarudisha taifa nyuma........ Ntakubaliana na wewe kama huu uzi cyo wa kwako Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...
Back
Top Bottom