Young Gwahe
Member
- Sep 3, 2017
- 53
- 162
Natokwa na jasho mda wote mchana na usiku, miguu inakufa ganzi na inaniwaka moto naomba msaada juu ya tatizo hili
Natokwa na jasho mda wote mchana na usiku, miguu inakufa ganzi na inaniwaka moto naomba msaada juu ya tatizo hili
Miaka 21, ni wa kiumeUna umri gani? Jinsia yako?
Miaka 21, ni wa kiume
ManaposeNatokwa na jasho mda wote mchana na usiku, miguu inakufa ganzi na inaniwaka moto naomba msaada juu ya tatizo hili
Mkuu cyo kila tatizo la never lipo associated na diabetessukari
hizo dalili zishawahi nitokea,nilipoenda kwenye vipimo ikawa sukariMkuu cyo kila tatizo la never lipo associated na diabetes
kwa watoto kutokwa jasho jingi kichwani na shingoni ni kawaida saaana, maana bado tezi za jasho za sehemu nyingine kama makwapani hazikomaa kufanya kazi kama kwa watu wazima.pole sana mpendwa ....nami Nina mwanangu wa mwaka mmoja anatokwa sana na jasho ila yeye linatoka kichwani pekee , muda wowote atakao lala iwe mchana iwe usiku...kinacho nitisha zaidi ni vile anavuja sana jasho mpaka nahofia kuishiwa maji ,maana chochote atakacho lalia wakati huo lazima kiloe tepe tepe. NAOMBENI MSAADA WENU WA KITIBA LAKINI PIA NI UGONJWA GANI!???