Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
Kaka mpaka akwambie kuwa hakutaki ndio ujue? Embu jiongeze mtoto wa kiume.

Unatongoza aelekei, hana interest na ww..achana nae
 
Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
mkuu nipe niku setie dish hilo halitachezacheza,
 
Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
Tafuta mschana mwingine rafiki yako pia halafu mtambulishe kuwa ni demu wako halafu utupe mrejesho
 
Eti dada akikaa kimya na ye anakaa kimya badala aendelee kusumbua aone kama hatakubaliwa vingine kujiongeza tu,akikaa kimya inatakiwa apate sms ya muamala au ya kuombwa watoke out kidogo,huko out akishindwa kumaliza mchezo basi ni uzembe wake tu mwenyewe
Uko vizuri
 
Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
Hakutaki
 
Back
Top Bottom