Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Jan 13, 2018
38
50
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
 
Hizi chuki zako kwa Diamond ungezigeuza ujiulize kwanini mpaka sasa Wewe ni Masikini hivyo ulivyo na Vyuma vimekukazia nga nga nga kisha ukatumia fursa zilizopo leo si ajabu ungekuwa ama unakimbizana Kiutajiri na Mohamed Dewji au Aliko Dangote achilia mbali Salim Said Bakhressa.
 
Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Lazima utakua na msongo wa mawazo wewe
 
Account za fb/IG zifutwe?!. serious mkuu hivi unajua dhamani ya hizo account au unaongea ongea tu kujifurahisha
 
Zifutwe ili wajifunze.hii mitandao inawafanya wafanye uhuni wao badala ya kuitumia kuwaelimisha watu.msanii n kioo cha jamii na sio mharibu maadili kama wasanii wetu hawa
 
Back
Top Bottom