Recent content by barack15

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Simba, shindeni mechi ya leo tuchukue ubingwa

    Umefika wapi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Nataka ninunue kwa wakulima nakisha niuze masokoni
  3. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Natamani kufanya biashara ya mazao ila sina uelewa nayo naomba MTU mwenye kuijua anipe muongozo natakiwa nianze na mtaji wa kiasi gani soko likoje mfano ndizi ,viazi,vitunguu nk
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa muhudumu wa kufuga kuku

    Mkoa gani ?malipo kiasi gani?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwl wa ICT na Computer

    Mwl wa ICT na Computer (Tehama )anapatikanika kwa Shule za primary na secondary. Kwa mawasilinano PM nikupatie no.yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote wa Tanzania.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chakula cha kuku

    Chakula ni mash au pillet?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa nyama-broiler

    Haya kaka soko limekuwa Shida
  8. B

    JamiiForums Tanzania Man with 31yrs old looking for matured lady

    Duuuuuuu yupo ana 41 urefu 158 uzito 105kg hakufai?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Walioitwa interview VETA

    Majina wameweka wapi?
  10. B

    JamiiForums Tanzania VETA TANZANIA: Update za interview veta kada mbalimbali

    Any up date ya walioitwa kwenye oral? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania TCU watoa mwongozo wa gharama za kufanya applications ya kujiunga chuo Kikuu 2017/18

    Ila ni vyuo vya umma sio binafsi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania TCU watoa mwongozo wa gharama za kufanya applications ya kujiunga chuo Kikuu 2017/18

    So now tunalipa 10000tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vyumba na sebule mbezi beach......

    Fafanua basi hiyo single nini na MBEZI beach ipi?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Aende hospital au kwenye kituo cha afya chochote kilicho karibu na yeye then aje na aseme ataambiwa nini!!! Kama sio jinsi nilivyomuambia
Back
Top Bottom