Nauza kuku wa nyama-broiler

Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined
Nov 8, 2017
Messages
17
Likes
8
Points
5
Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined Nov 8, 2017
17 8 5
Nauza kuku wa nyama,wana mwezi na siku 5...bei ni 5500/- jumla.
Napatikana oysterbay karibu na hospital ya ccbrt (macho)

0686171227 au 0713906616
8e8465feb1a224edf3006729c3fb9038.jpg
b1de4c027ee46e7bc58e23bb7890d3c6.jpg
 
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,117
Likes
1,713
Points
280
Age
31
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,117 1,713 280
Wacha masikhara,mwezi na siku5 Si bado nao, sasa kivipi uuze 5500??? Anyway nao kawaida wakikomaa ni elf 5 rejareja
 
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,117
Likes
1,713
Points
280
Age
31
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,117 1,713 280
Watakudodea mkuu,jikaje uza elf 3000/3000
 
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,117
Likes
1,713
Points
280
Age
31
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,117 1,713 280
Mbona we mswahili sana,na hutoendelea...we kama mfugaji unaongea ujinga huo...haya endelea
Naona hujui bei ya soko, au ndio ufugaji wa awali?? me mwenyewe ninayo kibao hapa,kama vipi yakuze ili uje uyauze jumla kwa watu wa catering. Bt sio mojamoja
 
Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined
Nov 8, 2017
Messages
17
Likes
8
Points
5
Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined Nov 8, 2017
17 8 5
Naona hujui bei ya soko, au ndio ufugaji wa awali?? me mwenyewe ninayo kibao hapa,kama vipi yakuze ili uje uyauze jumla kwa watu wa catering. Bt sio mojamoja
We si unao wako unahangaika na post yangu ili iwaje,acha uswahili kuwa mtu mzima anaejielewa usilazimishe mambo wewe utakavyo,hunijui na sina haja ya kujielezea kwako so we kaa pembeni hangaika na wako.
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
4,897
Likes
2,902
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
4,897 2,902 280
We si unao wako unahangaika na post yangu ili iwaje,acha uswahili kuwa mtu mzima anaejielewa usilazimishe mambo wewe utakavyo,hunijui na sina haja ya kujielezea kwako so we kaa pembeni hangaika na wako.
Wapo wangapi mkuu...?
 
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,117
Likes
1,713
Points
280
Age
31
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,117 1,713 280
We si unao wako unahangaika na post yangu ili iwaje,acha uswahili kuwa mtu mzima anaejielewa usilazimishe mambo wewe utakavyo,hunijui na sina haja ya kujielezea kwako so we kaa pembeni hangaika na wako.
Hatutaki kujuana Bali biashara yako ndio unataka tuijue, wanaume wa Dar mnapanic haraka, punguzeni soseji na yai moja ktk breakfast
 
Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined
Nov 8, 2017
Messages
17
Likes
8
Points
5
Simon_mt

Simon_mt

Member
Joined Nov 8, 2017
17 8 5
Hatutaki kujuana Bali biashara yako ndio unataka tuijue, wanaume wa Dar mnapanic haraka, punguzeni soseji na yai moja ktk breakfast
Usiongelee watu sema hutaki wewe,mbona unaforce kuongea kwa niaba ya watu,mi nimetangaza biashara yangu kisa na ww unao hawauziki unaona uongee ujinga...alafu unajiita mwanaume,huwezi ukawa mtu wa maana wewe ila we endelea kuongea ukimaliza utaa kimya then watu tunafanya biashara.
 
Jumaaofficial

Jumaaofficial

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Messages
258
Likes
185
Points
60
Jumaaofficial

Jumaaofficial

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2017
258 185 60
Acheni kuharibu biashara za watu
 
DE FULE

DE FULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
1,136
Likes
567
Points
280
DE FULE

DE FULE

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
1,136 567 280
Mtu akiwa sio mnunuzi ni vyema akapita kimya, tuwe waungwana kwenye vitu serious ukiwa mstaarabu utamcheck jamaa PM kama una ushauri. Najua wafanyabiashara na waungwana wameelewa.
 
Forum statistics

Threads 1,215,388
Members 463,166
Posts 28,545,760