zuberi Abraham
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 480
- 389
- Thread starter
- #21
Bado kimya
Naskia watu leo wanapiga interview lakn mbona kada zingine hawajaita interview au wamkuja kugundua wanawatu wa kutosha, espl wakufunzi.Kimya saaana
Vipi ilukuwaje mkuu.Mimi mmoja wapo nlie fanya interview, tulifanya j3 ya tarehe 04/09/2017
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua poa kiasi, mtihani hawakubana sana but tusubiri watakao itwa kwenye orl
Tupeane taarifa tafadhali wakitoa majina, ila walisema watatoa trh 8/9/2017 kwenye website yao lkn had sasa hawajatoaIlikua poa kiasi, mtihani hawakubana sana but tusubiri watakao itwa kwenye orl
Sent using Jamii Forums mobile app