Anatafutwa muhudumu wa kufuga kuku

akidai

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
262
51
Anatafutwa mhudumu mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa kisasa, awe anaelimu, ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhudumu kuku 1000 kwa mpigo,jitokeze kwa mahojiano sasa.
 
Anatafutwa mhudumu mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa kisasa,awe anaelimu ,ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhudumu kuku 1000 kwa mpigo,jitokeze kwa mahojiano sasa !!!!
Hakuna mtanzania ,basi hata mkenya,malawi n.k
 
Kubali ibiwa, maana utapokea habari za kifo kila siku na mzoga hutauona
Hahaha daah ni wa kisasa.hawa mkuu hata ukiiba au vibudu wanaokufa huwezi wala ni kuwatupa tu.
 
Kuku 1000 si mchezo, hongera mkuu
Kuna dogo yuko anapiga kazi sana ingawa hiyo kazi hajawahi ifanya!
 
Anatafutwa mhudumu mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa kisasa, awe anaelimu, ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhudumu kuku 1000 kwa mpigo,jitokeze kwa mahojiano sasa.
Yupo jamaa yangu ana Diploma ya Animal Science toka Chuo cha Cha mifugo. Kama utamlipa vizuri nimshtue
 
Wafugaji wa kisasa wengi wao wanalipa kizamani.
Tatizo huyu bwana nimegundua anataka kumuajiri MTU ambaye hana taaruma Na hiyo fani ili amkaange kwenye mshahara. Anashindwa kuelewa kwamba hiyo biashara ni kubwa sana,ukiangalia haraka haraka kwa KUKU hao 1000 ni mtaji mkubwa sana ambao akiajiri MTU professional Na kazi hiyo Na akamlipa vizuri,baada ya miezi minne au mitano atakuwa level nyingine kabisa. Ataajiri MTU Wa kawaida matokeo yake ugonjwa ukiingia kwenye banda hajui chochote matokeo yake Kuku wanakufa inakuwa hasara. Kumbuka biashara ya KUKU haitofautiani na biashara ya Samaki au biashara ya nyanya,ukijichanganya kidogo tu maumivu yake ni makubwa sana.
 
Hapana atapata mshahara kulingana na matokeo makubwa sasa (BRN) 0-1=1
2-3=2
4-5= 3
In thau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom